UDSM-Law First Classes

Kwani hao wamefanya nini cha maana????
 
Hongera wa kwetu FCM.
 
Hawezi jibu, Hawa ndio unasikiaga ma lawyer makajanja ukija kwenye makaratasi yanasoma vizuri tu ila kwenye uwanja wa mapambano ni aibu kwelikweli.
 
Aise
 
Sijui kwakweli.LAKINI NADHANI MFUMO WA KUFUNDISHA KOZI KWA MWAKA MZIMA UNACHANGIA
mm nilisoma PS&PA chuo kikuu mlimani. mzee utadhani ilikuwa medicine miaka mitatu A Hupati walimu wenyewe ndo hawa kina Bashiru chuo cha kijinga sana. nilienda kusoma kwingine shule ikawa rahisi sana
 
mm nilisoma PS&PA chuo kikuu mlimani. mzee utadhani ilikuwa medicine miaka mitatu A Hupati walimu wenyewe ndo hawa kina Bashiru chuo cha kijinga sana. nilienda kusoma kwingine shule ikawa rahisi sana
Kwa hiyo ulidisco?
 
Duuh kabudiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…