Hili jengo liko wapi? Kama ni main campus itakua UDBS Yale mapya yako karib na auxiliary police
Kwa nature ya viongozi tulionao... si ajabu ukaja kukuta after few year udsm ikapitwa na arusha tech.Hawa jamaa miaka na miaka hawabadiliki aisee. What's wrong with their heads.??
acha uongo mzee hapo t utawala ipo,nkrumah udbs,ira,coet nk unatak wifi ipiChuo kizima hakina hata wifi, kwa dunia ya leo ya sayansi na teknolojia bila internet ni sawa na bure.
Their heads? 😀 😀 😀 😀 😀 😀Hawa jamaa miaka na miaka hawabadiliki aisee. What's wrong with their heads.??
Exactly, nadhan mtoa mada ni mpitaji tu pale udsmHili jengo liko wapi? Kama ni main campus itakua UDBS Yale mapya yako karib na auxiliary police
huyu jamaa anaonekana ni mpita njia, UDSM si kama ulivoielezea.