UDSM kumekucha.

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
Kuna maandamano yanafanyika hapa main cumpus-udsm,watu wana mabango yanayoonyesha kunyimwa mikopo wanaelekea nkuruma hall ambapo kikwete na museven wapo.ffu wametanda kila kona kuimarisha ulinzi.
 
Acheni utoto nyie,tafuteni siku nyingine ndo mfanye hayo maandamano,mbona mnataka kujiaibisha!
 
Kwani hiyo simu haina camera au camera yakehaiwezi kupiga picha Mkuu!
 
Acheni utoto nyie,tafuteni siku nyingine ndo mfanye hayo maandamano,mbona mnataka kujiaibisha!
Siku nyingine lini? Hujui mkopo unasaidia kwa chakula pia? Basi kama ni muungwana na una busara kiasi hicho ongea na njaa za hao vijana ili zisiume leo, ziahirishe zije ziwaume hiyo siku nyingine unayoitaka
 
Acheni utoto nyie,tafuteni siku nyingine ndo mfanye hayo maandamano,mbona mnataka kujiaibisha!

Tumeshaaibishwa sana na Fisadi Wako Kikwete pamoja na Washikaji zake, sasa hao wanafunzi wanadai haki ndio kujiaibisha? Mbona unajiaibisha wewe mwenyewe sasa
 
Haya sasa, lakini MU7 siyo mtu wa kumuonyesha mabango anaweza kumshauri JK kuwapiga wote hao wanaoandamana kwa sababu kwake anafanya hivyo.Lakini ni vizuri kuwa ujumbe unafika.
 
kuwa wewe we unadhani huyo kikwete ni kama vocha za tygo ukimtaka mda wowote unampata aibu wao ndio wametutia aibu kama huna cha kuchangia kaa kimya..!
 
Tumeshaaibishwa sana na Fisadi Wako Kikwete pamoja na Washikaji zake, sasa hao wanafunzi wanadai haki ndio kujiaibisha? Mbona unajiaibisha wewe mwenyewe sasa

hivi hao wageni kutoka nje ya nchi mnataka kuwaonyesha nini,wkt sio muafaka kufanya hivyo
 
Tumempa liveeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee. Boooooooooooooooooooooooooooo!!!!!
 
hivi hao wageni kutoka nje ya nchi mnataka kuwaonyesha nini,wkt sio muafaka kufanya hivyo

ndio vzr,ili kama kuna wanao toaga misaada kwa ajili ya elimu,bac nao wajue hyo misaada yao huwa haiwafikii walengwa bali inaishia mikonon mwa wachache.
 
Kuna maandamano yanafanyika hapa main cumpus-udsm,watu wana mabango yanayoonyesha kunyimwa mikopo wanaelekea nkuruma hall ambapo kikwete na museven wapo.ffu wametanda kila kona kuimarisha ulinzi.
Hee kwani vipi tena, hao vijana wana madai gani?????????
 
Back
Top Bottom