UDSM hizi sasa sifa,sio kwa library hii!!!

Hii UDSM inayofukuzana na akina Abdul Nondo hii iwe kinara Afrika, WTF! Udsm ya mwishomisho aliondoka nayo Prof. Mukandara. Bora mwanangu akasome TEKU
 
Chadema mjinyonge .Hamna maktaba pale makao makuu ya Chadema .Sera mpya ya Chadema mliyozindua hamna maktaba pa kuiweka mnatembea nayo kwenye briefcase za combination kama matapeli wa mjini
We nae umesoma udsm eeehe?
 
Hivi Udsm products zake ndio prof Kabudi na Kitila Mkumbo sio mkuu?[/QUOTE
Hao uliowataja unawaonaje? acha ku underate chuo kwa kuangalia products chache ambao wameweka maarifa pembeni na kuishi utu wao, udsm bado ipo mahala pake.
 
Hii UDSM inayofukuzana na akina Abdul Nondo hii iwe kinara Afrika, WTF! Udsm ya mwishomisho aliondoka nayo Prof. Mukandara. Bora mwanangu akasome TEKU
Kwani prof mukandara ameondoka lini?na vipi kwasasa udsm aipo tena?au nawe ndo wale wakusoma tulisoma sisi enzi zile?
 
Chadema mjinyonge .Hamna maktaba pale makao makuu ya Chadema .Sera mpya ya Chadema mliyozindua hamna maktaba pa kuiweka mnatembea nayo kwenye briefcase za combination kama matapeli wa mjini
He! Think tank ya Lumumba hii.
 
Back
Top Bottom