UDSM hawa UDSM Hawa aaaaaah!

UDSM hawa UDSM Hawa aaaaaah!

Wakuu yaani nimevurugwa asee!

Nilikuwa najua kuripoti ni tarehe 27 nikajipanga nikakata tiketi tarehe 23 niondoke tarh 26 alafu wanaleta habari ya kubadili muda wa kuripoti. Ndio hivyo kesho nakuwa dar alafu sina ndugu. Aaah! Nafanyaje sasa. Naombeni mnishauri.




UPDATE.



Nimefanikiwa kubadili tiketi. Nawashukuru wote mliochangia.
 
aa nilijua ni ke .. ningekupa malazi ungekaa na wife mimi nimesafiri.. ila me nenda kalale kwenye vituo vya BRT.

kijana wewe nenda chuoni watakupokea bila wasi wasi

Sawa mkuu. Nimeweka update juu. Nimeshabadili tiketi
 
Hahaha....hkuna mkuu .. Hakuna...sio Kwa miaka hii...in kick tuu tujue kaenda udsm

It is impossible till it's done. Wapo wasio na ndugu wa kuhusiana. Mkimaanisha marafiki ni sawa. Ila mjue sio kila mtu dar ana moyo wa kukupokea
 
Back
Top Bottom