Udsm first year ada zabadilika

hakuna mabadiliko pale ni kuwa ile hela inayobaki kutoka kwenye mkopo wako toka HESLB,kwa hiyo ukiandikiwa 1,380,000,it means that unadaiwa sh 120,000. Kwa mtu anayelipa 1.5
 
Umechanganya madawa mkuu

tatizo ni uvivu wa kusoma nimekuambia angalia vizuri wetsite ya udsm fungua 1st year students fee variations utaona kuna ada iliyokatwa toka board na ada iliyobaki kwa mwanafunzi ili ailipe yaani student fee remaining (sfr) kwa wanafunzi wa sheria jumla ya ada inakuwa 1380000 na si 1500000 usiwe mvivu wa kutafiti.
 
ss ww ndo mvivu wa kutafiti maana ada ya sheria udsm ni 1500000, na co unavosema 1380000, half umekosea hapo kwny red co wetsite ni website ila nimekuelewa ulichotak kuumaanish ucjal
 
ndugu mi cjaelewa kabisa naomba unieleweshe.......!pale kwenye sfr wote sheria wameandikiwa sh laki moja n kwenye tuition fee mwingine kaandikiwa sh 1412000 cjaelewa ada ndo ipi hapo.....1naomba unijuze ndugu?
 
sfr inamaanisha special faculty requirements, hlf aliandikiw tuition fees 1412000 maanake kweny mkopo wak hiyo ndiyo anayolipiwa, inayobak ambayo ni 88000 anailipa mwenyewe, hope emenipata
 
ahsante mkuu nilikuwa nimeingia chaka hasa kama ni swali nilijibu swali la hesabu kwenye answer sheet ya historia du hawa bwana nao wawe wanaweka virefu vya vifupisho si unaona sasa nilitafasiri kimakosa.
 
Nyiie first year nitawasapisha.Nendeni kesho mkachukue join instruction unaulizada hapa uyadanganywa,hakuna mhasibu wa MC,DUCE,COET,MUCE
 
Back
Top Bottom