Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,442
- 25,589
wewe ni kilaza tu huna lolote.......
Vipi mkuu mbona povu?... umeguswa eh...
wewe ni kilaza tu huna lolote.......
hivi ni kwa nini watu wakikosa nafasi udsm huwa wanapanic.
Hiyo SAUT na vingine vinawaalimu gani wa kufundisha hadi kuipiku udsm. Wewe kama umekosa nafasi udsm tulia soma huko ulikopata sio kuja kukaa na kuandika mambo ya kutunga na kusemekana, achana na story za mtaani. Wewe ulipopata ndio uwezo wako umefikia. Faculty of law ni faculty ya muda mrefu hata watakaokufundisha wametoka hapo na pia ni faculty ya kimataifa sio ya kulinganisha na faculty za tumaina au saut, Pia haiitwi faculty ni school of law.
Nimesoma reply zote nimegundua kitu kimoja ambao hawasomi au hawajasoma UD wanakitetea chuo kwa nguvu vile vile kwa wale hawajasoma au hawasomi UD wanajarb kukiponda UD kwa nguvu zao zote ilimradi tu UD isionekane bora...lakin ukifikia kucompare law ya SAUT na UD manake
umeifanya UD kama reference point...wewe mtoa mada kwa nini usiitetee law ya SAUT au ya TUMAINI bila kuicompare na ya UD?....huu ubish hauna mashiko hata kidogo na mtoa mada nakupa point of information faculty ya law ndo faculty ya kwanza na kongwe UD...ilianzishwa pamoja na chuo baada ya UD kuwa chuo independent kutoka kwa makerere
What about competent lecturers mkuu Janja PORI? Isije ikawa mnafanya mafunzo kwa vitendo huku walimu wenu wote ni ma-tutorial assistants na assistant lecturers huku seniors wakumulika na tochi wa part-time? Sijasoma chuo chochote kati ya hivi lakini itaniwia vigumu sana kuviamini vyuo vya private ambavyo hakuna ku-disco.
kwa taarifa nilizopata hivi punde ni kwamba Chuo kikuu Dar es Salaam, Kitivo cha sheria kimeshindwa wazamini wanafunzi wawili kwenda Maputo kwenye mashindano ya MOOT Courts. mpashaji habari anasema Uongozi mpya wa Proffesa Rutinmwa umeshindwa kuhandle kitivo hivo kwa miaka 4 ijayo tutegemee elimu ya sheria UDSM kuwa FFFFFF. Chuo cha ST Agustine kimetabiriwa kuwa ni chuo kinachokuja juu kwenye maswala ya sheria kwakuwa. 1 wana muda wa kudefend dissertation zao 2. Wana attend moot court zotee,3 Elimu yao iko practical zaidi.
Wadau tutegemee kufa kwa Faculty of law UDSM. RIP FACULTY OF LAW.
Mpashaji anasema kwa utafiti uliofanywa hivi karibuni wanafunzi wengi wa law scul wamekuwa wakifanya vizuri ni wa SAUTI, na TUMAINI , na inasemakana ajira nyingi zimekuwa zikienda kwa wanafunzi wa SAUTI na vyuo vingne.
--- lakini pia inasemekana wanafunzi wa UDSM wa sheria wengi wao hawana kipato ndo maana wanakosa kuingia law scul .. sasa basi tutegemeee SAUTI ikitoa majaji ma AGs na wengne wengi
nawasi wasi na uwezo wa kufikiri....kwani kudisco ndo kipimo cha elimu bora??? sijui huu mtindio wa mawazo utaisha lini!!! walimu wali serious na kazi zao mtu kufeli ni janga sasa wewe watu wana disco unaona mnafundishwa vizuri....kaka amka kushakucha!!!!!!What about competent lecturers mkuu Janja PORI? Isije ikawa mnafanya mafunzo kwa vitendo huku walimu wenu wote ni ma-tutorial assistants na assistant lecturers huku seniors wakumulika na tochi wa part-time? Sijasoma chuo chochote kati ya hivi lakini itaniwia vigumu sana kuviamini vyuo vya private ambavyo hakuna ku-disco.
nawasi wasi na uwezo wa kufikiri....kwani kudisco ndo kipimo cha elimu bora??? sijui huu mtindio wa mawazo utaisha lini!!! walimu wali serious na kazi zao mtu kufeli ni janga sasa wewe watu wana disco unaona mnafundishwa vizuri....kaka amka kushakucha!!!!!!