UDSM faculty of Law imeoozaa St Agustine Chatoa wanasheri Bora TZ. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

UDSM faculty of Law imeoozaa St Agustine Chatoa wanasheri Bora TZ.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Janja PORI, Sep 25, 2012.

 1. Janja PORI

  Janja PORI JF-Expert Member

  #1
  Sep 25, 2012
  Joined: Jul 31, 2011
  Messages: 808
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  kwa taarifa nilizopata hivi punde ni kwamba Chuo kikuu Dar es Salaam, Kitivo cha sheria kimeshindwa wazamini wanafunzi wawili kwenda Maputo kwenye mashindano ya MOOT Courts. mpashaji habari anasema Uongozi mpya wa Proffesa Rutinmwa umeshindwa kuhandle kitivo hivo kwa miaka 4 ijayo tutegemee elimu ya sheria UDSM kuwa FFFFFF. Chuo cha ST Agustine kimetabiriwa kuwa ni chuo kinachokuja juu kwenye maswala ya sheria kwakuwa. 1 wana muda wa kudefend dissertation zao 2. Wana attend moot court zotee,3 Elimu yao iko practical zaidi.
  Wadau tutegemee kufa kwa Faculty of law UDSM. RIP FACULTY OF LAW.
  Mpashaji anasema kwa utafiti uliofanywa hivi karibuni wanafunzi wengi wa law scul wamekuwa wakifanya vizuri ni wa SAUTI, na TUMAINI , na inasemakana ajira nyingi zimekuwa zikienda kwa wanafunzi wa SAUTI na vyuo vingne.
  --- lakini pia inasemekana wanafunzi wa UDSM wa sheria wengi wao hawana kipato ndo maana wanakosa kuingia law scul .. sasa basi tutegemeee SAUTI ikitoa majaji ma AGs na wengne wengi
   
 2. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #2
  Sep 25, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Subiri waje, kuna watu huwa hawaamini mabadiliko!
   
 3. Janja PORI

  Janja PORI JF-Expert Member

  #3
  Sep 25, 2012
  Joined: Jul 31, 2011
  Messages: 808
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  haha huo ndo ukweli sasa hata wakiongea reality itakuja after 3 years to come.
   
 4. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #4
  Sep 25, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,313
  Likes Received: 2,271
  Trophy Points: 280
  Akina "die hard UDSM"
   
 5. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #5
  Sep 25, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  hii SAUTI ni chuo gan??? au ulimaanisha SAUT???anyway tungoje wataalam waje!! mimi siruhusiwi kuchangia kwenye hizi mada.....
   
 6. S

  Sukula JF-Expert Member

  #6
  Sep 25, 2012
  Joined: Jun 16, 2012
  Messages: 1,214
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  yeah,its true kuwa SAUT inakuja juu na huo ndo ukweli usiopingika kwasababu pale hawaentertain mambo ya siasa hata kidogo.
   
 7. E

  EJay JF-Expert Member

  #7
  Sep 25, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 694
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  wewe ni wale wale mliokosa nafasi ya kuingia UDSM Kwa kuwa ni kilaza wa 3.17,utaingiaje UDSL Katulize akili na vihiyo wenzio.
  Kwenye ajira Law ud lini wameduwaa duwaa mtaani kama wengine,wanasheria wengi wanaoaminika wanatoka UD.

  Law udsm itabaki kuwa juu.
   
 8. M

  MICHO THOMAS BK Member

  #8
  Sep 25, 2012
  Joined: Jun 2, 2012
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mmepotea jukwaa wazee ebu katupie huo ujinga wenu kwenye jukwaa lake.
   
 9. Makindi N

  Makindi N JF-Expert Member

  #9
  Sep 25, 2012
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 1,068
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Mimi sio mtaalam wa elimu lkn nafikiri na kujiuliza yafuatayo:
  1. UDSM na SAUT wanafunzi wanaodahili - (enroll) ni chuo gani cut-off points zao ziko juu? Obviously, ni UDSM. Sasa kwanini wadahiliwa wakiwa chuoni expectations zao hazifikiwi au hawapati wapatacho? Umejijibu mwenyewe kwamba ni UONGOZI. Dean, ameshindwa kuhakikisha wanafunzi wanaenda MOOT Court etc! Tatizo ni la kiuongozi na utawala zaidi ya wanafunzi!

  2. Kuhusu ajira, its simple..... mkulima mimi na yule hatuwezi walipia watoto wetu TUMAINI na SAUT regardless of Board ya mikopo topping up some tuition fee. Wanaosoma TUMAINI na SAUT tukubali ni wa familia ya kati na juu! Wazazi / ndugu zao watawapa kazi nzuri na mapema kuliko masikini waliomaliza UDSM and other public universities. Usiseme kuna Public Service Recruitment Secretariat - its rotten. A friend of mine walienda kwenye interview, wakaanza na written interview! Anasema wapo kwenye msitari mwenzake ana majibu! Alijua ni majibu alipokutana na mtihani wenyewe kwenye interview.

  3. TUMAINI sitaki iongelea! Walivyooanza kutoa degree ya sheria - waliopata uhakimu baada ya hapo - MAHAKAMA yenyewe ndio inajua kwa madudu yanayofanywa na kizazi kile - wakawa hawaajiriwi kimya kimya - lakini imeshindikana ni watoto wa wazito na vilaza- they have to be employed! Sijui sana SAUT though I am told they're doing great!
   
 10. F

  FwEnJi.com New Member

  #10
  Sep 25, 2012
  Joined: Aug 19, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  wewe ni kilaza tu huna lolote.......
   
 11. E

  EJay JF-Expert Member

  #11
  Sep 25, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 694
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  jibu hoja
   
 12. Wi-Fi

  Wi-Fi JF-Expert Member

  #12
  Sep 25, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,070
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  mleta mada umekuja kimipasho na kimatangazo zaidi, watu watashindwa kujadili kama vipi peleka kule jukwaa la matangazo!
   
 13. Jaslaws

  Jaslaws JF-Expert Member

  #13
  Sep 25, 2012
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 5,129
  Likes Received: 2,186
  Trophy Points: 280
  Truth is divine and falsehood is satanic,asante mleta mada.
   
 14. CHUAKACHARA

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #14
  Sep 25, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,825
  Trophy Points: 280
  Mbona kama layman anaongea. Napita
   
 15. Wikiliki

  Wikiliki JF-Expert Member

  #15
  Sep 25, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 529
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  hivi ni kwa nini watu wakikosa nafasi udsm huwa wanapanic.
  Hiyo SAUT na vingine vinawaalimu gani wa kufundisha hadi kuipiku udsm. Wewe kama umekosa nafasi udsm tulia soma huko ulikopata sio kuja kukaa na kuandika mambo ya kutunga na kusemekana, achana na story za mtaani. Wewe ulipopata ndio uwezo wako umefikia. Faculty of law ni faculty ya muda mrefu hata watakaokufundisha wametoka hapo na pia ni faculty ya kimataifa sio ya kulinganisha na faculty za tumaina au saut, Pia haiitwi faculty ni school of law.
   
 16. Advocate J

  Advocate J JF-Expert Member

  #16
  Sep 25, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 3,880
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  Ngoja nitoke kuchunga n'gombe nitachangia
   
 17. Christine1

  Christine1 JF-Expert Member

  #17
  Sep 25, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 12,266
  Likes Received: 1,197
  Trophy Points: 280
  unajua mi nashangaa kitu kimoja,hivi mtu km umesoma udsm au popote pale,na ukaambiwa chuo kinafanya madudu utatetea tu coz ulisoma hapo?..hebu tubadirike tuache fikra mgando,kuna vyuo vingi vzr na vinatoa watu wazuri zaidi ya udsm!....ukweli utawaweka huru
   
 18. bologna

  bologna JF-Expert Member

  #18
  Sep 25, 2012
  Joined: Sep 10, 2012
  Messages: 1,156
  Likes Received: 908
  Trophy Points: 280
  Kila chuo hapa Tanzania kina vilaza ila idadi ya vilaza kwenye vyuo ndio inatofautiana. Chuo kingine kina idadi kubwa ya vilaza kingine idadi inakua ndogo. Ila tutambue sio kila mtu ambaye ajaenda UDSM alikuahana vigezo vya kuja hapo. So hata hapo SAUT unaweza kuta Vilaza 60% na 40% sio vilaza. hivyohivyo UDSM unaweza ukakuta 30% vilaza 70 sio vilaza. Hivyo ndio Graph inavyokwenda wakuu.
   
 19. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #19
  Sep 25, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Saut ndio chuo gani na kiko bara gani?
   
 20. Lyamber

  Lyamber JF-Expert Member

  #20
  Sep 25, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 4,189
  Likes Received: 2,631
  Trophy Points: 280
  kwenye ajira wanapimaga kwanza uelewa halafu na experience...sasa kushindwa kwenda moot court ndo nin..? halafu haujasema hizo ajira wanazopata hao wa vyuo ulivyosema ni katika entry point ama vipi..?ila ukweli ni udsm gpa chenga vyuo vingine gpa ni mzuker so kweli lazima waajiri wengine na kukutosa wewe uliopost hii mada maana nahic ni victim wa hiyo moot court..ova...
   
Loading...