Dx and Rx
JF-Expert Member
- Jul 16, 2017
- 1,324
- 3,154
Nimejaribu namba kama 7, zingine zinaita bila kupokelewa, zingine hazipatikanijaribu zote me ua wanapokea nishawasumbua sana mpaka wamenikalili labda iwe bize na ikiwa bize unapiga inginee zipo nyingi kuna mmoja atapokea tu