Wameshatoa.. Login kweny akaunt yakoyguys udom vip
guys udom vip
Vip umefanikiwa kupata?SASA WAMETOA ANGALIENI STATUS
Wametoa kuna demu nimemuombea kakosa round ya pili .Udom bd awajatoa aiseeee
Mbna wengne bado status n zile zile duh mambo n moto mkuuuWametoa kuna demu nimemuombea kakosa round ya pili .
Km unaweza tunaomba screenshot io mkuuWametoa kuna demu nimemuombea kakosa round ya pili .
Duh ngoja tusubir wengne wenda kufikia badae tutakuwa tushapata majibu yetuAngalia hapo amekosa
kaka mi pia niliomba Udom second round lakin profile angu haijabadilika chochotte ipo vile vileAngalia hapo amekosa
Duh pole sana kwan mzumbe akuapply?Me mwenyew nmekosa udom
hii profile ya selected ni ya mtu wa round ya pili???Tuko pamoja me nilipata UDOM round ya kwanza jipeni moyo round ya mwisho bado ipo kwa wale ambao profile yao haioneshi subirini bado watakua hawaja update