UDOM second round

UDOM second round

naona system ya udom iko busy japo ukiingia kwenye profile zao hakuna kimya.
 
me nmeomba udom lkn nkiingia kweny profile yangu haionyeshi kam nmekubaliwa or not
 
bado kuna tatizo la kimawasiliano kati ya vyuo na tcu. round ya pili hadi sasa. haijatoka ukiachia multiple selection. mbaya zaidi round ya tatu tayar imetangazwa na mwisho ni leo.
 
Back
Top Bottom