Goodhope078
Member
- Mar 8, 2017
- 72
- 23
Habar zenu wakuu naomba kujua waolio apply second round majina yao yanatoka Lin au kama yametoka mwenye anayo bas
Yanatoka tar 22 sep according ratiba yao ya tcuHabar zenu wakuu naomba kujua waolio apply second round majina yao yanatoka Lin au kama yametoka mwenye anayo bas
let's wait tuone maana naona wameitoa hile ya tar 22 ni wasumbufu sana sijuwi n lini haya mambo ya elimu tz yatakuwa kamiliRatiba ya tisiyu wamebadilisha yanatoka kesho
Poa naomba bas yakitoka unityumie mkuuRatiba ya tisiyu wamebadilisha yanatoka kesho
bado mpaka tar 22 jmosiIvi majina bado
nadhan kwa kesho majina sijuwi kama wataachia maana mkuu kasema siku NNE za maombolezo kwa ajili ya ajali iliyotokea ya kivuko.bado mpaka tar 22 jmosi
Dahh kaz kwl yannadhan kwa kesho majina sijuwi kama wataachia maana mkuu kasema siku NNE za maombolezo kwa ajili ya ajali iliyotokea ya kivuko.
Haimaanishi watu wasiende kazini.nadhan kwa kesho majina sijuwi kama wataachia maana mkuu kasema siku NNE za maombolezo kwa ajili ya ajali iliyotokea ya kivuko.
Mmmmh, hilo nalo neno asee, bado wiki tatu loan board watoe majina, bado wiki tano baadhi ya vyuo vifungue,, na wakati huo huo kwenye hii second round kuna mambo ya multiple selection,, daah hapo cjui itakuwaje.....,,, ila sio mbaya maana loan board nao wana round tatu za kutoa majina,, so tusiwe nashaka mi nadhani.....Kama majina hayatoki leo. Third round itaanza lin na majina watatoa lin. Hku bodi ya mkopo tarehe 15 nao wanatoa yao?
daah ndugu yangu huijui Tanzania na mambo yako AnnalitoKwakweli how i wish wangekua specific kwakwel. Mambo yangekuwa wazi na ya kueleweka kabisa. Hata wale watakao kosa hii selection nao wajipange wanafanyaje. Multiples zitatoka codes zianze kusumbua. Wengne nadhan hata admission letters hawajapata. Kwakweli TCU waliangalie hili wengine vyuo vitafunguliwa bila kuwa na admission letter
Yakitoka mnipe update
Wadau huwa Nasumbuk Sana kupata majina ya post kutokana na mtandao so soon tu baada ya kutoka naomba majina ya UDOM,UDISM,RUCU,UoI msaada wana Jf
2nd round tayari yameshatoka ingieni kwenye account zenu au kama una multiple ingiakwenye tovuti ya tcuKama majina hayatoki leo. Third round itaanza lin na majina watatoa lin. Hku bodi ya mkopo tarehe 15 nao wanatoa yao?