UDOM Pitia hapa, Neema Hizi

UDOM Pitia hapa, Neema Hizi

Mie sijafanya comparison ..nimesema hiyo idea wameikopi na kupest kutoka Udsm ......acha kuninukuu vibaya ..bythe way unajistukia na udom yako ..punguza presha utakatwa
udsm na udom ni walewale tu..tofauti yao ni majina...
wote tunaclaim at the end tupate chet
ila kiuharisia ud mnaombaga sana misaada kwenye maeneo ya field kias kwamba tunabaki midomo waz haiwezeian chuo kikongwe km hicho alaf wanafunz wake wana vitu vichache ubongoni mwao

 
hii program hua ipo vingi vya private

nakumbuka wakati nipo SUA nilipungukiwa 60000 nikawaelekeza wanifanyie reduction kwenye boom ila walisema hiyo system haipo,

ilibidi niuze shamba langu hivi hivi najiona ili nimalizie 60000

by the way,hongereni udom kwa kuwasaidia watu wenu,vyuo vingi vya serikali hua hawatumii hii system
 
Hujaambiwa ufanye comparison,,,,,, kama kukopi na kupest kipi cha ajabu,,,kwani UDSM peponi!!!!!!!
Kila kitu tuwe tunaulizia UDSM kipo,,,,au kiliwahi kufanyika,,,,,,Acha mpango,,,Sema hako Kaplan kanasaidia watu duni,,,Hongereni UDOM kwa plan hiyo saidizi.
Duh
 
Ww huna chuo au spy kabisa..kila chuo unakijua umesoma, Mara mipango,Mara ifm ,not etc kila chuo unakijua duuu balaa

Acha uongo...unaniaibisha.....umetaja makapi yote..mie nimesoma coict nitake radhi
 
Acha uongo...unaniaibisha.....umetaja makapi yote..mie nimesoma coict nitake radhi
Hivyo unavijuaje au unadandia gari kwa mbele..kila post ya chuo unakijua mpaka hostel
 
Wadau kama kuna mtu yupo UDOM College of Education(ng'ong'ona)naomba anisaidie kujua kama ni kweli kuna majina ya w.funzi wa first year waliopata mkopo ambayo yamebandikwa huko chuoni. Natanguliza shukurani
 
Wadau kama kuna mtu yupo UDOM College of Education(ng'ong'ona)naomba anisaidie kujua kama ni kweli kuna majina ya w.funzi wa first year waliopata mkopo ambayo yamebandikwa huko chuoni. Natanguliza shukurani
Sipo ng'ong'ona ila nina file la orodha ya freshers waliopata mkopo. Njoo pm unipe namba yako ya whatsapp nikutumie.
 
Back
Top Bottom