Acha uongo ww umesoma udsm gan ww watu tupo hapa udsm mwaka wa tatu huu hakunaga hicho kiyu ebhaana much lov saaana kwenu udom mmewasaidia watt wa masikin wanaojilipiaga wenyewe
UDSM tulita nipige tafu, ilikoa sana maisha ya watu wa mlimani. asante UDOM kukopy and paste







hawa n wakucopy tu alaf wanasema wameanzisha wao. 






kuna jamaa alisema udsm hiyo program ipo wakat mm nmefaiti saana udsm ila imeshindikana kusaidiwa hata peke yangu ndyo maana nnamshangaa bt hongera kwao UDOMJamani sioni haja ya kuanza kubishana sijui udsm sijui udom. Kwan kwenye post kuna sehemu nimeihusisha UDSM? Na sijui hichi kitu kimetokea wapi. Mm nilikuwa nawapa taarifa wale wa UDOM. Sasa UDSM sijui mnaihusishaje hapa? Kama UDSM na vyuo vingine vinafanya hivi basi ni kivyao. Ila mm nilitoa hii kwasababu ndio inaanzishwa kwa UDOM. Mnabishana tuu weee... sijui mmetokea wapi?
Cha ajabu ni yeye kuizungumzia UDSM ktk thread ya UDOM. Yani kajistukia tu na kuanza kuizungumzia UDSM akat haihusiki hapa. Thread inazungumzia UDOM. Na wanaosoma UDOM wamesoma na wameelewa na wengine wamefurahi. Sasa yeye inamuhusu nini...? Kwani thread hii ni kupambanisha UDOM na UDSM? Watu wengine wanakera jamani dah!kuna jamaa alisema udsm hiyo program ipo wakat mm nmefaiti saana udsm ila imeshindikana kusaidiwa hata peke yangu ndyo maana nnamshangaa bt hongera kwao UDOM
unajua hesabu vizuri.Acha umbea bwana expenses gani za UDOM. Za ada laki 8 na direct cost isiyozidi laki 3. Unajua kuna majitu yanaboa sana Tanzania hii kukurupuka tu kila kitu kujifanya unajua. Eti watakata boom lote.
badoUdom mikopo tiari au bado??
Ndugu, nani kakwambia kuwa lazima ada ulipe yote ya mwaka mzima? Mi ninachokijua unaruhusiwa kulipa nusu kwa semester moja. Hata hivyo kama una mkopo ambao sio 0% au asilimia ndogo mbona ni kiasi kidogo sana unalipa. UDOM kuna watu pia wanalipa ada laki saba kwa mwaka mzima.unajua hesabu vizuri.
laki nane uplus laki tatu 1100000
alafu boom 710000 kwa first sem
mbona naona boom lote linakatwa na deni linabaki.
mwenye uelewa asaidie
ada unalipa nusu me nna mdogo wangu yupo udom anasoma bsc Statistics analipa 220000 kwa mwaka yaan 110000 kw semist.........na pia 710000 ya boom cyo kwa semister ila ni kwa miez miwil wakat semist moja ina miez mi4unajua hesabu vizuri.
laki nane uplus laki tatu 1100000
alafu boom 710000 kwa first sem
mbona naona boom lote linakatwa na deni linabaki.
mwenye uelewa asaidie
Huyu katibu mkoa sijui katibu wa mkoa gani huyu.ada unalipa nusu me nna mdogo wangu yupo udom anasoma bsc Statistics analipa 220000 kwa mwaka yaan 110000 kw semist.........na pia 710000 ya boom cyo kwa semister ila ni kwa miez miwil wakat semist moja ina miez mi4
Ila hukatazwi pia kulipa yote.Mkuu nawashukuruni sana mjomba wangu alituambia kuwa ada ni laki nane na direct costs ni laki mbili na kadhaa na lzma ilipwe yote,daah kumbe ni kwamba ada atalipa laki nne plus direct costs.daah nimeangaika sana humu kama mwanachuo.
Ww huna chuo au spy kabisa..kila chuo unakijua umesoma, Mara mipango,Mara ifm ,not etc kila chuo unakijua duuu balaambona UDSM ..hii kitu ipo tokea kitambo ...... ulizia waliopita udsm .wameikopi na kupest.
Umesema kweli mkuuu hio tunasikia tu ilikuwepo ila tangu tuanze mpka namalizia now mwaka wangu wamwisho sijawahi iona hii..nasikia waliiiondoaMm pia nimesoma UDSM japo ni tawini lkn najua wanafanya mambo sawa. Mbona tulimuomba sana Mukandala aligoma kabisa kufanya hio kitu? Anyway nisikubishie sana labda ipo main campus tu.