UDOM mtasahisha hiyoo mitihani au ulikuwa utalii ule | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

UDOM mtasahisha hiyoo mitihani au ulikuwa utalii ule

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by zubedayo_mchuzi, Oct 20, 2011.

 1. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #1
  Oct 20, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Hivi hawa UDOM,watasahisha hiyo mitihani au ndo kamali za kimitihani.....
  napatwa na wasiwasi sana kwa taarifa za ndani kabisa watu wameweka watu wao na mtihani ule ulikuwa ni kuwaleta watu kufanya UTALII WA NDANI KWENYE majengo ya UDOM
   
 2. P

  PAFKI Senior Member

  #2
  Oct 20, 2011
  Joined: Sep 30, 2011
  Messages: 116
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Yawezekana kabisa ndio maana waliita watu wote hao kwenye interview maana
   
 3. P

  POLITE MAN Member

  #3
  Oct 20, 2011
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  UDOM ni wasanii waliobobea kwenye sanaa, niliwambia kuwa kuna baadhi ya watu walishafanya interview ile kabla ya siku ile, na msimamizi aliwataka kama wapo kwenye chumba cha mtiani a.k.a interview basi wasirudie tena kufanya. APO JUMLISHA MWENYEWE UKIPATA JIBU PIGIA MSTARI
   
 4. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #4
  Oct 20, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Za kuambiwa,changanya na zako.
   
Loading...