Udom kama Barcelona

Tangazo:
nafasi za kazi kwa graduates.
Sifa zinazohijajika
1.Awe amehitimu chuo chochote isipokuwa Udom
Mnaionaje wadau
 
Tangazo:
nafasi za kazi kwa graduates.
Sifa zinazohijajika
1.Awe amehitimu chuo chochote isipokuwa Udom
Mnaionaje wadau

Ofisi ipo OHIO na uwanja wa FISI nyote mnakaribishwa!
 
Uwe serious mkuu, UDOM? umejaribu kuangalia university rank in Tanzania? UDOM ni ya ngap? Uliona hata Tangazo lile lenye msistizo "all aplicants are obliged to apply except those from UDOM"? Unajua kwa nn? Interview mnakuwa vilaza, Top Universities in Tanzania | Good University Ranking Guide
ACHA AKILI ZA SHULE YA MSINGI mheshimiwa, hii ni JF siyo FB
 
kwa kweli udom ina hadhi ya chuo kikuu, wanafunzi waliobahatika kwenda vyuo vikuu utawakuta udsm, mzumbe, tumain, sauti, lakini waliostahili wako udom
 
Nocla upo sahihi, hao udsm tumewafunika hakutokeza hata mmoja.
Tumetia mutu zaidi ya 7 kati ya kumi walohitajika.
wasubiri Mkandara labda atawapendelea...atakapo tangaza nafasi za Tutorial assistant hapo mlimani..ila huku kwingine uwezo wako utakuweka mahala fulani na si jina la chuo chako.
Interview siku hizi wanapiga kwanza Written..sasa wewe na bichwa lako la kufikiri udsm itakubeba..utaishia kuandika Jina na chuo ulichosoma......utachekesha Pannel arif...
mimi nimesoma udom na nimepata kazi katika ushindani amabamo nanyi mnao jiita udsm mlikuwapo...vijana tulifika pale..kama kawaida..hatuongei sana...hao udsm wakaanza porojo zao kama kawa za kujisifu
Kuingia kwenye pepa(written interview) kutoka wote kimya..
Matokeo yanatoka pale.hata mmoja simuoni..kutizama vizuri namba moja mpaka 7 vijana wa Udom wamekimbiza.
ninyi mtabaki tu kulewa sifa ambayo hukushiriki vyema kuijenga.
Vyuo vyote ni sawa ila Some one as an individua ndo unaweza kuwashinda wengine.
Jifunzeni acheni mabishano yasowajega.
 

Nyongeza mkuu, hiyo kada niliyoisema walipitia ITA(Chuo cha kodi) Jamaa wa UDOM walifanya vizuri hadi Jamaa mmoja wa UDOM alipiga A course zote, wao wanaishia kupiga kelele sisi vijana tunaingiza net pay ya kutosha! Mimi sichangiagi hii mijadala lakini ukweli lazima niseme anayebisha aje nimpe na evidence!
 



Ndugu yangu Big F jibu hoja.... Usikurupuke na ushabiki.
 

kaa chini utulie ujifunze kuheshimu na kuithamini lugha yako. Maneno kama "ata" badala ya "hata", " izi" badala ya "hizi" , "iyo" badala ya "hiyo", "afu" badala ya "halafu" na mengine mengi yanalete kichefuchefu na kutia kinyaa hasa yanapotamkwa/andikwa na mtu anayejipambanua ni msomi kama wewe! Siku hizi wadogo zetu wanafeli sana hasa mtihani wa kiswahili kwa makosa madogo ya uzembe kama hayo kwani mwalimu akiyakuta kazi ni moja tu, kuyazungushia duara na hivyo kupunguza "marks"
 
Wasomi wa TANZANIA ni wapuuzi kweli, ati mtu anakaa anajisifia kuwa UDOM ina majengo mazuri...very stupid. Tunataka mchango wa UDOM katika kubadilisha hali ya mambo ndani ya nchi, na sio UDOM majengo nk. Hebu badilikeni nyie wasomi wapuuzi wa TANZANIA.
 

Wewe ndio mpuuzi kama kimeshindwa chuo kilichoanzishwa sawa na uhuru kwanini mapovu yakutoke kwa chuo kichanga? Wewe umeisaidia nini nchi na chuo chako ambacho hakina majengo bora? Ila kina ubora wa elimu? Zaidi ya kuiweka ichi hapa ilipo?
 

udom kijana udsm mzee! tangu mwaka stini udsm imeleta maendeleo gani katika hii nchi zaidi ya kutengeneza mafisadi tu! udom inamiaka 5 lakini ishaanza kuonesha muelekeo wa kuwatoa vijani ujingani! udsm ndio imechangia kuipoteza hii nchi kimaendeleo sana sana sana! kwenye read hapo hata wewe hujui siri ya udsm na hii nchi ni ipi, ni watu wachache tunaojua lengo la udsm na hii nchi, wajuaji wengine walishatangulia mbele za haki! hamna chuo hapo udsm, bali chenyewe ndo kimeua maaendeleo ya hii nchi, udsm mnajua kugoma tu ndo hata kwenye historia iko ivo! amka kijana wewe!
 
Jamani toeni hoja acheni mipasho
 
hatari sana, unashindwa hata kukitaja chuo chako vizuri, umakini wa chuo unachakingiwa na watu waliopo au waliosoma hapo jitahidi kuwa makini
 
Mawazo ya mtoa mada hayana tofauti na mawazo ya mtendaji wa kijiji
 
Udsm ki2 gan mbona vilaza wengi wako huko na wengine tumesoma nao .udsm imebak jina 2 hakuna lolote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…