Chuo cha udom kwa sasa kinatisha kila nyanza ukianzia miundombinu ya madarasa mazuri kuliko chuo chochote Tanzania, vyumba vya malazi ni kujichagulia mwenyewe kwani ni vingi vya kutosha, huduma za kijamii kama mabenki, course ambazo hazipo vyuo vingine Tanzania nzima kama petroleum engineering, Ba japanese, Ba chinese, nk, malecture wa kutosha hakitegemei tena vyun vingine, ukubwa wake tu ni utalii, majengo yake hayapo sehemu nyingine isipokuwa udom, Hospitali kubwa ndani ya chuo na ya rufaa inaendelea kujengwa kwa kweli ni raha kuwa udom.....ni kama unashabikia barcelona hasa wakikutana na vibonde wao man u
update
kuna watu wanadharau majengo hv chuo gani usomee chini ya mti? Au mnataka vyuo ambavyo majengo hata st mary's hayafikii? Chuo kikuu pia majengo yanahusika. Udom sasa hv lectures wapo asikudanganye mtu na mwonekano wake kweli ni chuo kikuu