UDOM inaniandikia application pending, natakiwa kulipia tena?

UDOM inaniandikia application pending, natakiwa kulipia tena?

Pamoja na kuwa nimelipa bado niki log in inaonyesha kuwa sijalipa. Nifanyeje . Msaada please kama kuna mtu mwenye tatizo kama hili. UDOM please, application fee

Application is pending for confirmation
If you have not paid please pay


Application Status
Pending for Confirmation: If you have not paid please pay.
 
Nlifanya application udom tangu tar22 siku walio tangaza wananza kipokea maombi
Lakini mpaka Leo application zangu ziko pending na wanataka nlipe tena
Akati mwanzo nlilipa 30,000

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namaanisha unapoandika vitu serious kama hivi basi kabla hujapost jaribu ku proof read maana lugha haieleweki.. Au tuseme inaeleweka ila kwa wasomi hawatapenda hata kujibu kutokana na jinsi ulivyoandika
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom