Brightman Jr
JF-Expert Member
- Mar 22, 2009
- 1,224
- 236
Hao kama wanahubiri siasa na dini basi watakuwa ni tawi la UAMSHO lile la Zenji...! Maana wao hutumia mwavuli wa dini kuhubiri siasa.
Ndugu yangu hujaelewa hoja hapa inatakiwa hekima ya hali ya juu, CDM inahitaji support ya watu wote regardless wanatoka chama gani ili kuweza kuishinda CCM!!! Mbona Wafilisti waliwapigania Wayahudi mara nyingi tuu wakashinda vita, busara inatakiwa bila kujenga enmity ili tuweze kuondoa wezi kwenye power!!! Pale CCM kuna watu mchanganyiko na CDM kuna watu dini zote hata wasio na dini, siasa inahitaji busara!!!!Tunasafiri na mtumbwi mmoja tusianze kuutoboa matundu kama panya tutazama!!!!kwani ni nani haujui kwamba UISLAM ni dini ya kuzimu?mimi hata siku moja siwezi amini kwamba hawa watu wataenda mbinguni,sijawahi sikia ati ukiua mtu anayekuzuia kueneza uislam utapata dhawabu,ni wapi katika vitabu vyote vya dini vimehalalisha kuua?nadhani kuna tatizo somewhere
chadema kama wanakanusha hawatumikii kanisa. WAHOJI MATUMIZI YA MOU yanayotolewa na serekali kwa kanisa.
chadema kama wanakanusha hawatumikii kanisa. WAHOJI MATUMIZI YA MOU yanayotolewa na serekali kwa kanisa.
Nipo Mkoani Mtwara kikazi kwa wiki karibu mbili sasa.
Njia ya kuelekea Masasi mbele kidogo na ile round about yanapopaki magari ya zimamoto mbele kidogo ya njia panda ya airport kuna mhadhara unafanyika wiki ya pili sasa.
Mashekhe hao ambao wamepita katika kila eneo ambalo chadema wamepita na kufanya mihadhara wanapita na wao kueneza chuki na ghiliba za kidini kuwa asili ya chadema ni ukristo na malengo yake ni kustawisha ukristo
Wanakwenda mbali zaidi kwa kusema Adui wa muislam ni mkristo hivyo hakuna haja ya kukishabikia chadema.
Ingawa hawasemi chama gani kiko neutral wala hawasemi wafuasi wao wanatakiwa wafuate chama gani lakini wanawahamasisha wahakikishe kuwa kuna haki na usawa
Kampeni hii ambayo inafanyika katika mwavuli wa mikutano ya dini ambapo huanza kwanza kwa kuikosoa biblia kwa kutumia quran mwishowe humalizikia kwa kuiponda chadema kidini.
Nimefanikiwa kuhudhuria mkutano mmoja na nimesikiliza mwanzo hadi mwisho, kwa kweli wanafanikiwa kupata wafuasi na waamini wengi. Akili za vijana wengi ambao hapo awali tulidhani zimekombolewa kwa ujio wa cdm zimerud kule kule kwenye enzi za ujima na udini
MUNGU INUSURU TANZANIA NA DHORUBA INAYOWEZA KUTOKEA ANY TIME
Hiyo MOU iliwekwa na CDM? Chama cha mfumo kila siku mnasema CCM bado mnaichukia sana CDM kumbe mnapenda mfumo ila mnazuga 2 wanafikuna iondoeni ccm na mfumo kristo wake waingie wapinzani wowote wale bila kujar iwe cuf, cdm, au pppt maendeleo tofauti na ivyo nyie wote mnachukua bahasha mnawazuga waumini wenu nyambafu zenu.mwambie Mh Mbowe aiulize Bungeni. wallah ndio mwisho wa Chadema kuungwa mkono na jamaa --------.
Huko pesa haina internal wala external auditor. Toa , tumia, kula tu
i like.unapoulaani uislam kwa sababu kuna kikundi cha waislam wanapinga cdm, inaonesha una mapungufu katika uwezo wako wa kufikiri, au umetumwa na magamba ili uthibitishe kuwa cdm ina chuki na waislam. Cdm inahitaji support ya dini zote kuu mbili hapa nchini ili kushika dola, kwa taarifa yako cdm ina makamanda wengi waislam walioko mstari wa mbele wanaipigania cdm iungwe mkono na waislam wenzao wote, wakati kuna wakristo wa ccm wanashiriki kupanga mipango ya kuiangamiza cdm usiku na mchana, hata kule arumeru kuna maaskofu walitumia nguvu zao zote kuhakikisha cdm inashindwa, je, kwa standard yako ya kufikiri una maana ukristo au wakristo wote walaaniwe kwenda kuzimu kwa sababu wameipinga cdm? Nijuavyo, na ndivyo ilivyo, cdm ni chama cha watanzania wote, bila kujali rangi, kabila wala dini ya mtu, watu kama nyie wenye kudhsrau dini za wenzenu, ni bora msiwe kwenye chama chochote cha kisiasa, mbakie makanisani na misikini, mnaharibu ulingo wa siasa!
chadema kama wanakanusha hawatumikii kanisa. WAHOJI MATUMIZI YA MOU yanayotolewa na serekali kwa kanisa.
Nipo Mkoani Mtwara kikazi kwa wiki karibu mbili sasa.
Njia ya kuelekea Masasi mbele kidogo na ile round about yanapopaki magari ya zimamoto mbele kidogo ya njia panda ya airport kuna mhadhara unafanyika wiki ya pili sasa.
Mashekhe hao ambao wamepita katika kila eneo ambalo chadema wamepita na kufanya mihadhara wanapita na wao kueneza chuki na ghiliba za kidini kuwa asili ya chadema ni ukristo na malengo yake ni kustawisha ukristo
Wanakwenda mbali zaidi kwa kusema Adui wa muislam ni mkristo hivyo hakuna haja ya kukishabikia chadema.
Ingawa hawasemi chama gani kiko neutral wala hawasemi wafuasi wao wanatakiwa wafuate chama gani lakini wanawahamasisha wahakikishe kuwa kuna haki na usawa
Kampeni hii ambayo inafanyika katika mwavuli wa mikutano ya dini ambapo huanza kwanza kwa kuikosoa biblia kwa kutumia quran mwishowe humalizikia kwa kuiponda chadema kidini.
Nimefanikiwa kuhudhuria mkutano mmoja na nimesikiliza mwanzo hadi mwisho, kwa kweli wanafanikiwa kupata wafuasi na waamini wengi. Akili za vijana wengi ambao hapo awali tulidhani zimekombolewa kwa ujio wa cdm zimerud kule kule kwenye enzi za ujima na udini
MUNGU INUSURU TANZANIA NA DHORUBA INAYOWEZA KUTOKEA ANY TIME
Mipovu ya nini?! si umeambiwa mumshinikize "kamanda" Mbowe aiibue na kuihoji MOU bungeni?......au hamtaki tena kura za Waislamu?Hiyo MOU iliwekwa na CDM? Chama cha mfumo kila siku mnasema CCM bado mnaichukia sana CDM kumbe mnapenda mfumo ila mnazuga 2 wanafikuna iondoeni ccm na mfumo kristo wake waingie wapinzani wowote wale bila kujar iwe cuf, cdm, au pppt maendeleo tofauti na ivyo nyie wote mnachukua bahasha mnawazuga waumini wenu nyambafu zenu.
Malaria Sugu, you will never change.chadema kama wanakanusha hawatumikii kanisa. WAHOJI MATUMIZI YA MOU yanayotolewa na serekali kwa kanisa.