Udini watumika kuizamisha CHADEMA mikoa ya kusini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Udini watumika kuizamisha CHADEMA mikoa ya kusini

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzito Kabwela, Jun 21, 2012.

 1. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #1
  Jun 21, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,691
  Trophy Points: 280
  Nipo Mkoani Mtwara kikazi kwa wiki karibu mbili sasa.
  Njia ya kuelekea Masasi mbele kidogo na ile round about yanapopaki magari ya zimamoto mbele kidogo ya njia panda ya airport kuna mhadhara unafanyika wiki ya pili sasa.

  Mashekhe hao ambao wamepita katika kila eneo ambalo chadema wamepita na kufanya mihadhara wanapita na wao kueneza chuki na ghiliba za kidini kuwa asili ya chadema ni ukristo na malengo yake ni kustawisha ukristo

  Wanakwenda mbali zaidi kwa kusema Adui wa muislam ni mkristo hivyo hakuna haja ya kukishabikia chadema.
  Ingawa hawasemi chama gani kiko neutral wala hawasemi wafuasi wao wanatakiwa wafuate chama gani lakini wanawahamasisha wahakikishe kuwa kuna haki na usawa

  Kampeni hii ambayo inafanyika katika mwavuli wa mikutano ya dini ambapo huanza kwanza kwa kuikosoa biblia kwa kutumia quran mwishowe humalizikia kwa kuiponda chadema kidini.

  Nimefanikiwa kuhudhuria mkutano mmoja na nimesikiliza mwanzo hadi mwisho, kwa kweli wanafanikiwa kupata wafuasi na waamini wengi. Akili za vijana wengi ambao hapo awali tulidhani zimekombolewa kwa ujio wa cdm zimerud kule kule kwenye enzi za ujima na udini
  MUNGU INUSURU TANZANIA NA DHORUBA INAYOWEZA KUTOKEA ANY TIME
   
 2. Malaria Sugu

  Malaria Sugu JF-Expert Member

  #2
  Jun 21, 2012
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 2,653
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  chadema kama wanakanusha hawatumikii kanisa. WAHOJI MATUMIZI YA MOU yanayotolewa na serekali kwa kanisa.
   
 3. SILENT WHISPER

  SILENT WHISPER JF-Expert Member

  #3
  Jun 21, 2012
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 2,231
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  usiogope mkuu..! UAMSHO WAMESHINDWA SEMBUSE HAO WAGANGA NJAA...! kwani kamanda Zitto ni mkristo..Bob makani je??
   
 4. w

  wajinawangu Senior Member

  #4
  Jun 21, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 128
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ngoja tuone cdm watajibu nini!
   
 5. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #5
  Jun 21, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  kama yanayo fanyika ni kweli hao Waislamu ni watu wa kuzimu, huwezi ukawa unaichukia imani ya mwenzako bila sababu tena kwa chuki na jaziba, hao ni watu wa kuzimu, mbona leo hii duniani kuna Magaidi,Machangudoa,Majambazi na watu wenye kila aina ya uovu wanaishi na wanapumua kama hao Masheikh njaa? Hapa hua inatufundisha ya kwamba Mungu wetu ni mstahimilivu,mpore na hana ubaguzi. Sasa hao chuki na ukiristo halafu baadae wanaenda swala tano si upuuzi huo?
   
 6. kanga

  kanga JF-Expert Member

  #6
  Jun 21, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 1,011
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Wasiosoma ni chakula cha wasomi.Hao masheikh wanataka hao waislamu waendelee kuwa chakula cha ccm ambayo kila siku wanaituhumu kuwa ina mikataba na makanisa.Hawajajitambua na wanatumika kama condomu tu.
   
 7. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #7
  Jun 21, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,533
  Likes Received: 10,447
  Trophy Points: 280
  wametumwa na ccm.! Na hiyo mikoa wasipobadilika wataiona miaka mingine hamsini ikikatika hivihivi.!
   
 8. a

  andrews JF-Expert Member

  #8
  Jun 21, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
   
 9. Communist

  Communist JF-Expert Member

  #9
  Jun 21, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 5,391
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  [​IMG]
   
 10. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #10
  Jun 21, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,816
  Likes Received: 330
  Trophy Points: 180
  Hizi propaganda za cdm ni chama cha kikristo taratibu zinakosa nguvu maana chdm inasonga ikiteka mateka.Mwanzo walisingizia uchaga imefeli,na ukristo itafeli vilevile.
  Rai yangu kwa cdm ni kudumu kujenga hoja za kutetea watanzania ndani na nje ya bunge;lazima itafika mbali tu.
  MUNGU IBARIKI TANZANIA
   
 11. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #11
  Jun 21, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  NyinyiEm inatapatapa tu end of Day kitaeleweka tu mkuu wala usiwe na shaka kamanda, message delivered, mwenyekiti wao ni DHAIFU
   
 12. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #12
  Jun 21, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,789
  Likes Received: 36,804
  Trophy Points: 280
  Try to think big, are you sure huu ndo mwisho wako wa kufikiri??

  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
 13. mangikule

  mangikule JF-Expert Member

  #13
  Jun 21, 2012
  Joined: Jun 11, 2012
  Messages: 3,176
  Likes Received: 1,257
  Trophy Points: 280
  Hakuna shida waendelee tu na CCmagamba watumieni faida mtazipata siku si nyingi.
   
 14. mangikule

  mangikule JF-Expert Member

  #14
  Jun 21, 2012
  Joined: Jun 11, 2012
  Messages: 3,176
  Likes Received: 1,257
  Trophy Points: 280
  Nimehoji mara nyingi watu wanakuwa kasuku MOU! MOU! MOU! MOU! iletwe hapa tuichambue jamani!!
   
 15. Malaria Sugu

  Malaria Sugu JF-Expert Member

  #15
  Jun 21, 2012
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 2,653
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mwambie Mh Mbowe aiulize Bungeni. wallah ndio mwisho wa Chadema kuungwa mkono na jamaa --------.
  Huko pesa haina internal wala external auditor. Toa , tumia, kula tu
   
 16. m

  mchaichai JF-Expert Member

  #16
  Jun 21, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 650
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mchawi ni mtu mbaya sana kila wakati mihadhara kuponda imani za wenzao wakati ya kwao ni ya kichawi hakuna dini inaongoza kwa tunguri kama uislam nenda kila mikoa yenye waislamu wengi inaongoza kwa uchawi na umasikini kwa sababu wao wanataka watu wasifunguke ili wote wawe watu wa kulalamika tu bila kutumia akili shenzi kabisa hao...kama na wale wenye upeo wanfumbia macho watavuna wanachotaka maana mashekhe hao wamepewa hela na ccm...watu hawana kazi ni kijiwe vya ghahawa tu na fitina, uongo, kijicho, kuloga na ushabiki wa dini na umasikini kila wakati serikali kulalamika inawapendelea wakristo
   
 17. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #17
  Jun 21, 2012
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Kiongozi dhaifu hutumia mbinu dhaifu kuwahadaa watu dhaifu kwa kutetea udhaifu kwa hoja dhaifu...
   
 18. M

  MgungaMiba JF-Expert Member

  #18
  Jun 21, 2012
  Joined: Aug 28, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 80
  Unapoulaani Uislam kwa sababu kuna kikundi cha waislam wanapinga CDM, inaonesha una mapungufu katika uwezo wako wa kufikiri, au umetumwa na Magamba ili uthibitishe kuwa CDM Ina chuki na Waislam. CDM inahitaji support ya dini zote kuu mbili hapa nchini ili kushika dola, kwa taarifa yako CDM ina Makamanda wengi Waislam walioko mstari wa mbele wanaipigania CDM iungwe mkono na Waislam wenzao wote, Wakati kuna Wakristo wa CCM wanashiriki kupanga mipango ya kuiangamiza CDM usiku na mchana, hata kule Arumeru kuna Maaskofu walitumia nguvu zao zote kuhakikisha CDM inashindwa, Je, kwa standard yako ya kufikiri una maana Ukristo au Wakristo wote Walaaniwe kwenda kuzimu kwa sababu wameipinga CDM? Nijuavyo, na ndivyo ilivyo, CDM ni chama cha Watanzania wote, bila kujali Rangi, Kabila wala dini ya mtu, watu kama nyie wenye kudhsrau dini za wenzenu, ni bora msiwe kwenye chama chochote cha kisiasa, mbakie makanisani na misikini, mnaharibu ulingo wa Siasa!
   
 19. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #19
  Jun 21, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,984
  Likes Received: 426
  Trophy Points: 180
  Hao Mashehik wacha wazunguke na siasa zao za udini CHADEMA waendelee kuwaelimisha wananchi umasikini wa Tanzania unaletwa na nini, mwishowe watu wataelewa!!! Kwanza wewe jiulize hao watu wanatumia funds kutoka wapi??? Aliye watuma ni nani, sio kweli kuwa kuna mkono wa mtu pale???? Nina hakika Mungu wetu anatupenda Watanzania hawezi kutuacha kwenye giza siku zote, hatimaye nuru itachomoza tuu!!!!

   
 20. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #20
  Jun 21, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Wamefilisika hoja hao!
   
Loading...