Mutambukamalogo
JF-Expert Member
- Jan 25, 2011
- 397
- 85
taratibu bana!!
sisi tusio na misikiti na makanisa tutakutania wapi?
Waislam ...........Hawana effect kwanza kura zao ni za mapepo.
hivi ww unamtisha nani hapa?kwanini unafikiri ninyi ndie wenye maamuzi na mustakabali na nchi hii,usijidanganye hii nchi ni yetu sote.kumbe mnajua waislam ni wachache sasa wasiwasi wanini hata nyie si mulimchagua slaa na mlijua hatashinda si mumesema wakristo mko wengi nyie mulianza sisi tunamalizia subirini maaskofu wawapigie debe kama sakata la madiwani waislam tunapiga kura kwa malengo hatakama tutakae mchagua hatashinda lengo ni kumridhisha mungu sio makengeza mbowe
Taarifa ya habari ya ITV saa mbili imeonyesha tamko Rasmi la Bakwata kuwataka waislam wa Igunga wasimpigie kura mgombea wa chadema.Nimepata mshtuko mkubwa na kuona taifa letu sasa linaangamia.Hivi ni halali kwa mujibu wa sheria za uchaguzi dini kutangaza rasmi chama fulani kisipigiwe kura? Watu wote wapenda haki demokrasia na amani walaani tamko hili haramu.
Tushukuru maana uzuri wake wagombea wa vyama vyote vyenye nguvu ni Wakristo hivyo hoja au rai ya huyo shehe haina nguvu saana maana watabidi wachague wasilo penda kwa msimamo wa huyo shehe.Lakini nijuavyo mimi watu wanachagua mtu kwa weledi wake na malengo ya chama chake. Hao watu anaowashawishi wachague ngombea wake si wajinga wanajua watamchagua nani ataye watetea kutoka kwanye umaskini!!!!!!! Tanzania ni yetu wote bila ubaguzi wa dini!!!!!Tumpuuze huyo kiongozi wa dini uelewa wake ni finyu!!!!!!!Leo katika ibaada ya ijumaa katika msikiti mkuu wa igunga mjini shekhe ama mtoa mawaidha amesema chadema na wakristo ni makafiri. Katika mawaidha hayo shekhe huyo alisikika kupitia spika za mskitini (Public annoucement system) akisema chadema ni chama cha kidi kwa sababu ya kumdharirisha mkuu wa wilaya ambaye ni mwislam. nami ni kiwa eneo ka msikitini nilisikia maneno hayo ya shekhe. Kweli shekhe katugawa wana igunga. Anadai kwa mwislam yeyote atakaye chagua chadema atalaaniwa. Baada ya ibaada wapo baadhi ya waislam wamechukizwa na hotuba ya shekhe huyo. Mbaya yaidi waislam wanashindwa kuelewa kama kuchagua chadema ni dhambi kwa kauli ya shekhe! je wachague chama kipi? Kwani katika vyama venye nguvu hapa ni chadema, ccm na cuf. Wagombea wote kupitia vyama hivyo wote ni wakristo. Kuna mgombea mmoja tu kutoka chama kimoja cha UDPD ambacho hakina mashiko kabisa hapa igunga hata kampeni bado hakijazindua. Sijui huu udini utatupekeka wapi? haya ni ya kweli nimeyackia mwenyewe na kama una dungu yako hapa igunga ambaye anafuatilia siasa kwa ukaribu please jaribu kumuuliza. Tunaomba dua zenu uchaguzi huu umalizike kwa amani.
CCM hoja zimewaisha wameamua kuwasakizia nduguzangu Waislamu hadi msikitini ili walete hoja zachuki zadini kuwagawa wana Igunga. Nawashauri wanaigunga watafakari uchaguzi ni kwa ajili ya nani? na faida zake baada ya uchaguzi?? Wasiende na mtazamo wa ushabiki wakapata hasara ya miaka mingine mitano ijayo tena, chagua chama makini!!!!!! Hebu waone mfano wa Tanzania nzima sasa taabu tunayopata shauri ya kuchagua kwa ushabiki zahama imetukumba sukari itafikia bei ya Tshs 4000/=. Dhuruma kibao wezi wa mabilioni wako mtaani wanatuona mabwege!!!! Watu wawe makini na uchaguzi, wacha siasa uchwara za kushabikia hijabu ukabaki kwenye umaskini wa kutupwa miaka yote!!!!!!!Ukiona kampeni zinaacha kujadili maisha ya ki maskini yaliyowajaa wananchi wa Igunga(angalia picha ya nyumba iliyo background na DC) na kujadili mambo ya kidini,jua kuna baadhi ya watu hoja za msingi zimewaisha. Tumuombe Mungu atuongoze kwenye fikra zetu!
kumbe mnajua waislam ni wachache sasa wasiwasi wanini hata nyie si mulimchagua slaa na mlijua hatashinda si mumesema wakristo mko wengi nyie mulianza sisi tunamalizia subirini maaskofu wawapigie debe kama sakata la madiwani waislam tunapiga kura kwa malengo hatakama tutakae mchagua hatashinda lengo ni kumridhisha mungu sio makengeza mbowe
Yeap man.! There ur..mashekhe washanunuliwa na magamba tayari