Kumbakumba
JF-Expert Member
- Sep 7, 2011
- 222
- 21
Elimu madrasa inashida sana,hata uwezo wa kufikiri hili ni tabu sana..wao hata rangi ya chama inaweza kuwa sababu tosha ya kuchagua..Mbona Waislam Igunga ni wachache saana, hawana effect yeyote. Mbona wanaruka mkojo wanakanyaga mavi? Kafumu wa Yesu, kashindye naye wa Yesu. Mbona hawafikiri hata kidogo?
BAKWATA wamejidhihirisha ni wavivu wa kufikiri. Wamelalama eti uislam umeaibishwa kwa kuwa Fatuma Kimario kavuliwa kitambaa wakiamini ni Muislam. Jirani wa DC anayeishi naye mbezi kavujisha ukweli kuwa huyu mama ni mkristo kaolewa na bwana Joseph Kimario kwa ndoa ya kikatoliki tena mzee wake ni mzee wa kanisa la katoliki mbezi. Pia DC huyu na mumewe wana nyumba na shamba tegeta na ktk shamba hilo wanafuga nguruwe na mama huyu ni muuzaji maarufu wa hawa nguruwe hapo tegeta na ni mlaji mzuri tu wa hii kitu .MIKURUPUKO YA BAKWATA NA USHABIKI WAKE KISIASA NCHINI HUENDA UKAZAA TAASISI NYINGINE IMARA ZAIDI KUJUMUISHA WAISLAMU WA MATABAKA YOTE NCHINI
Wala haikua lazima kiasi hicho kwa taasisi hii ya BAKWATA kudhaalilisha Uislamu nchini kwa kukurupukia tu matukio bila hata kuyatthmini kiundani kwanza.
Kuna uwezekano Wanaharakati maarufu kama Sheikh Ponda Issa Ponda na wengine wengi tu wakapinga vikali mno hii taabia ya hivi karibuni ya baadhi ya BAKWATA kuligeuza KIMBILIO LA CCM wakati wa shida za kukataliwa kisiasa.
BAKWATA na mikurupuko yake ya kuaibisha Waislamu SAFI nchini kama vile kwa huyu Mzee wa Kanisa Katoloki pale Wazo-Tegeta, Mama Fatuma Joseph Kimario, huenda ikageuka BOMU LA HATARI sana kuliangamiza taasisi hii tuliokua tukiiheshimu saana nchini.
Kwa kweli pengine taasisi nyingine ya maana zaidi na yenye Uwakilishi wa kweli wa WAUMINI WA KIISLAMU (wala si CCM) nchini huenda ikaibuka na kuungwa mkono kuchukua nafasi yake hivi karibuni.
......sijui na ile 'mahakama yetu' itakuwa inatenda haki au nayo itakurupuka/itakurupushwa tu....
Hakika dhambi ya ubaguzi wa dini na kuwatenga wakristo na chadema itawatafuna wao BAKWATA muda sio mrefu wote humu mtakuwa mashahidi, hawaponi kueneza chuki ya dini ni kitu kibaya sana utazua vita kati ya wazazi na watoto mke na mume patakuwa hapatoshi. wakristo msishabikie hakika mtakuwa salama hata waeneze ubaya gani mwisho wasiku watamalizana wao maana dhambi ya ubaguzi haitaishia kwa wakristo tu na chadema watajikuta na humo ndani mwao kunatofauti. Ee Mungu tusaidie tuepushie na hii roho ya udiniTaarifa ya habari ya ITV saa mbili imeonyesha tamko Rasmi la Bakwata kuwataka waislam wa Igunga wasimpigie kura mgombea wa chadema.Nimepata mshtuko mkubwa na kuona taifa letu sasa linaangamia.Hivi ni halali kwa mujibu wa sheria za uchaguzi dini kutangaza rasmi chama fulani kisipigiwe kura? Watu wote wapenda haki demokrasia na amani walaani tamko hili haramu.
Hujeleweka fresh!
Kuja na hoja nzito ni pale unapokuwa against gvt?.Ati waislam hawaji na hoja nzito.Hii ni dhihaka kwa waislam na kuendeleza udini.Waislam wamedhalauliwa sana na sasa wamechoka wameamua kuchukua hatua kwa wote wanaowadharau wanaanza na CDM kukifuta ktk ramani ya siasa za tz.ati waislam hawajasoma huu nao ni udini mbona tunao maprofa kibao na madokta?. CDM wasipochukua hatua za kuomba radhi waislam au kwenda kwa viongoz wa kiislam wakayamaliza kistaarabu kijue kinajenga picha mbaya kwa watz kuwa hakina uwezo wa kuongoza na kuunganisha watu ktk jamii.
kumbe mnajua waislam ni wachache sasa wasiwasi wanini hata nyie si mulimchagua slaa na mlijua hatashinda si mumesema wakristo mko wengi nyie mulianza sisi tunamalizia subirini maaskofu wawapigie debe kama sakata la madiwani waislam tunapiga kura kwa malengo hatakama tutakae mchagua hatashinda lengo ni kumridhisha mungu sio makengeza mbowe