mkuu fundi mchundo usikurupuke, hapo jamaa alipo wa list viongozi wa juu wa UDOM wamemuacha DVC academic ambae ni christian...na mjadala wa ku compare tuliufunga hauna maana tunachotaka ni vielelezo vya mtoa mada wa thread hii na ushaidi...ambapo ameshindwaKwa nini usiwaweke tuu kama walivyofanya kuhusu UDOM? Tatizo liko wapi? Watu wameishadai kuwa uongozi wa juu wote wa hivi vyuo ni wamisheni. Wawataje basi ingawa jina si ushahidi kamili.
Amandla........
pole mkuu kuna shule nyingi tuu TZ za kikristo ambazo hazichukui waislam,marrian girls, visiga seminary, st francis na nyingine nyingi...na pia kuna baadhi ya shule za kiislam hazichukui wakristo mfano almuntazir..ila wahindu wanakubaliwa hapo...ukibisha na hapo basi tena
nashangaa unapokataa kuwa muslim Uni haijaletwa kwaajili ya kuendeleza muslims, mfano jinalenyewe na sheria inayo iestablish chuo ipo wazi
mkuu fundi mchundo usikurupuke, hapo jamaa alipo wa list viongozi wa juu wa UDOM wamemuacha DVC academic ambae ni christian...na mjadala wa ku compare tuliufunga hauna maana tunachotaka ni vielelezo vya mtoa mada wa thread hii na ushaidi...ambapo ameshindwa
kifupi mshahara hauna udini ni vyeti vyako vinakupa mshahara wako...rejea page 1 mpaka ya 9 ya thread hii ndo utaelewa tumetoka wapi
USIKURUPUKE KAKA
nakubaliana wewe mkuu...bora nimepata watu wawili katika hii thread ambao si wadini na neutral kama mimi...mefrahi sana..pia kuna shule za kikristo nyingi tu zenye waislam achilia mbali lebo ina msalaba mfano LOYOLA na St anthon....nakubaliana nawe unaposema inachotakiwa ni quality ya elim.Shule ikiishaitwa seminary basi haiwezi kuchukua mtu asiye wa dini ile. Sasa kama shule hiyo lengo lake ni kufundisha mapadiri na watawa kwa nini basi ichukue watu wasioweza kuwa watawa? Mtu ambae hauna nia ya kuwa mwalimu unatafuta nini kuomba nafasi katika chuo cha walimu?
Almuntazir haiwezi kusema haichukui mtu asiye muislamu bali inaweza vigezo ambavyo wakristu wataona vigumu kukubaliana navyo. Vitu kama sheria za mavazi zitawafukuza wakristu wengine. Mbona wakristu wengi tu wamesoma shule za Bakwata? Wengi tu walisoma Kinondoni Muslim n.k.
Kuendeleza waislamu hakumaanishi kubagua wasio waislamu. Chuo kinaweza kutoa skolaship kwa ajili ya wanafunzi wa kiislamu, kutoa nafasi kwa wanafunzi kujifunza zaidi masuala yanayohusu uislamu lakini hakiwezi kusema kuwa waislamu hawatakiwi hapo. Wakitaka kufanya hivyo itabidi kigeuzwe seminari ya kiislamu na si vinginevyo.
Katika projects ufaransa ambako wahamiaji wengi ni kutoka nchi zenye waislamu wengi, shule zinazogombewa ni za wakatoliki. Katika shule nyingine idadi kubwa ni waislamu kuliko wakristu pamoja na kwamba walimu ni maburuda, kabla ya masomo wanasali na mbele ya darasa kuna msalaba! Cha msingi ni elimu na ili mradi mtu haulazimishwi kupiga ishara ya msalaba basi wazazi wengi wakiislamu wako ihari kupeleka watoto wao huko. Hivyo hivyo hiyo Al Muntazir ikijenga jina la kutoa elimu bora basi wamisheni wengi watakuwa tayari kuwavisha hijab watoto wao ili wakasome huko!
Amandla........
Tujadili mambo ya maana kabisa
inasemekana pia mishahara haina scale kulinganisha na sifa bali inapangwa na afisa ambaye yeye anatumia udini kama kigezo, yaani mkristo kiduchu na mwislamu bwelele
Wahenga walisema .... dont argue with a f..., people might not notice the difference.mkuu fundi mchundo usikurupuke, hapo jamaa alipo wa list viongozi wa juu wa UDOM wamemuacha DVC academic ambae ni christian...na mjadala wa ku compare tuliufunga hauna maana tunachotaka ni vielelezo vya mtoa mada wa thread hii na ushaidi...ambapo ameshindwa
kifupi mshahara hauna udini ni vyeti vyako vinakupa mshahara wako...rejea page 1 mpaka ya 9 ya thread hii ndo utaelewa tumetoka wapi
USIKURUPUKE KAKA
kwenye local papers moja hapa nchini nadhani mtanzania, kuna barua ya mtoa maoni akilalamikia kuhusu udini w akupindukia huko chuo kikuu cha dodoma, inasemekana kama wewe si mwislamu huna chako pale
inasemekana pia mishahara haina scale kulinganisha na sifa bali inapangwa na afisa ambaye yeye anatumia udini kama kigezo, yaani mkristo kiduchu na mwislamu bwelele
sasa jf iko kila mahali tunaomba data na ikiwezekana hili lipingwe kwa nguvy zote
utaifa wetu uwe ndiyo kigezo pekee, kamwe udini , ukabila, na rangi kisiwe kigezo cha kututenga, hakuna aliye bora kuliko tanzania
Huna hata haya!
Vipi kakugusa nini!
Muongo! alete ushahidi! tunajuwa kwa nini anasema hivi, simpo, ni kwa sababu tu JMK kaweka record ya Dunia ya kutangaza azima ya chuo kikuu mpaka kuanza maduhuli ya wanafunzi na mpaka kuanza kutoa elimu hiki chuo ni muda mfupi sana na tunakipeleka kweny Guinness Book of Records kisajiliwe rasmi kuwa ni record ya dunia.
Sasa huyu usongo wa Muislam kufanikisha yaliyowashinda wagala, ndio anazuwa hili, Yes, kanigusa sana.
Mbona mapovu kibao mkuu wangu ....
Unashangilia kwa vile chuo kimejengwa kwa msaada wa pesa toka ..... (jaza kwenye blank) au kwa vile imagination yako imekutuma kuamini kuwa JK kaweka rekodi ya dunia!
Na sasa Tanzania isipogeuzwa kuwa nchi ya kiislam mtahamia wapi? - Congo?
Siku ulipoanza kuhudhuria vikao vya tanzanian-taleban
Na wewe ndio ulikuwa una rekodi attendance...
Uislam ndio dini inayokuwa zaidi ya zote duniani. Hatuna haja ya kugeuza nchi wala mtu, mwenye macho haambiwi tazama mwenye masikio haambiwi sikia. waIslam wanaonyesha kwa vitendo, si umeona Mwinyi alifanya nini? na sasa unaona JMK anafanya nini? nambie Nyerere alifanya nini? jibu, katuwacha kwenye lindi la umasikini hata dawa ya meno hamna madukani. Duh! na Mkapa? katuwacha kwenye ufisadi wa hali juu! JMK anachukuwa nchi hata umeme hakuna, majambazi kibao! leo tunaona aliyoyafanya kwa muda mchache, sasa mnajidai UDOM udini! kama si upuuzi ni nini huu?
JMK fanya vitu vyako, usiwasikilize wagala hawa! yao ni kuponda tu pale penye mafanikio. Lakini ziba masikio fanya unavyoona wewe ni sawa na watabaki hawana la kusema ila kuzusha tu kama kawaida yao. Wamewazushia mitume, wengine wakawaita ni ''Mungu'' itakuwa wewe Rais tu? watakuzushia kila la kukuzushia lakini kwa kuwa uyafanyayo yanajionesha na hayo ndio yatakulinda na hila na fitina zao.
Tech iko juu ... all I need ni digital cam moja tu kwenye zulia na wauzuliaji wote nikawajua.
Ndio mwana teknolojia mwenyewe huyu?