Mwenyezi atunusuru tusifikie yale tunayosikia kule Nigeria!
mnayataka wenyewe....dini itaendelea kuwa nafasi muhimi katika maisha ya watu.
sasa wewe mmependana alafu mnajua kabisa kuwa mkitaka kuoa lazima muende kwa wazazi....wazazi ishu ya dini kwao muhimu so hilo lazima mlifikirie.
Ni kweli Georgina. Viongozi wakuu wa dini wanapaswa wakae meza moja waondoe tofauti za dini wakiishirikisha serikali.
Hata hivyo huyo dada kimeo.
jambo1 acha kupandikiza chuki za kidini hapa, katika watu wasiojali udini na ukabila katika mapenzi ni wanawake na wao ndio walitokomeza udini na ukabila hapa Tanzania. Sio Nyerere, sio Mwinyi wala Mkapa, ni wanawake wa Tanzania, wanakubali kuwa na marafiki na waume wa kabila na dini yoyote ambapo imepelekea Tanzania hii tumeoleana kiasi kwamba muingiliano huo umeleta umoja wa kitaifa. HONGERENI WANAWAKE WA TANZANIA.Jamani tunakoelekea sasa ni kubaya..
Jamaa angu muislam alikuwa na girlfriend wake mkristo mapenzi yao yalidumu kwa mwaka mmoja na nusu hiv lakin hiv karibuni ndo wakaparaganyika kwa sababu yule msichana alimwambia boy wake kuwa hawezi kuwa na yeye kwakuwa ni muislam wakati muda wote alikuwa anajua kuwa boy wake ni muislam..
Jamaa anadai siku moja wakaticwako pamoja walikuwa wanaangalia tv wakaona lile tukio la Zanzibar la kujeruhiwa kwa padri na kuchomwa moto makanisa basi yule msichana akaanza kuponda kuwa waislam ni wakatili..jamaa akamwambia sio hivyo..hayo yamepandikizwa kidiasa tu..mdada hakuelewa jamaa naye akamuuliza je na yule shekhe aliye mwagiwa tindikali kanwagiwa na wakristu.?hivyo likitokea jambo usigeneralize.
Sasa leo na mimi yamenikuta kuna dada nachat nae kwa takriban miezi miwil sasa ila leo ameniuliza dini yangu nkamwambia kuwa mimi baba angu ni muislam na mama angu ni mkristu akasema mbona jina lako ni la kiislam..akasema yaan yeye hapendi kabisa urafiki na waislam kwa kuwa ni wakorofi..nkamuuliza ukorofi wa waislam umeanza lini akasema mifano ile ile ya zanzibar..nikamuuliza mbona miaka yote haikuwa ikionekana hivyo..?hakujibu..
My Take JK na CCM wanatupeleka kubaya..ndoa za watu ziyavunjika kwa sababu ya udini..tusubiri tuone tuendako..
mnayataka wenyewe....dini itaendelea kuwa nafasi muhimi katika maisha ya watu.
sasa wewe mmependana alafu mnajua kabisa kuwa mkitaka kuoa lazima muende kwa wazazi....wazazi ishu ya dini kwao muhimu so hilo lazima mlifikirie.
Sio Georgina ni georgina george.Ni kweli Georgina. Viongozi wakuu wa dini wanapaswa wakae meza moja waondoe tofauti za dini wakiishirikisha serikali.
Hata hivyo huyo dada kimeo.
you are completly righttafuta wa iman yako nukta
Suala hapa ni kuangalia na kutafakari hali unavyokwenda..mi nafikir suala hili kwa sasa limekuwa serious sana kuliko wakat nwingne wowote..Huyu mleta uzi baba yake ni Mwislamu na mama yake ni Mristo: So, inabidi pia atafute mama mwingine wa Kiislamu?
Labda mleta uzi alitaka kuiga kama alivyofanya baba yake!
Umesema sawa kabisa mkuu..chuki za kidini zimezidi..sasa hiv kuna baadhi ya nyumba za kupanga wanaangalia sana dini yako..ni hatari sana..Tatizo kwangu ni chuki za kidini, lakini kuiangalia dini kama kigezo cha mpenzi kwenda katika ndoa ni swala la siku nyingi kwa watu wa dini kwa misingi ya dini zao. Bahati nzuri maridhiano kwa watu wa dini tofauti yalifikiwa bila ya kuguswa (au kuguswa sana) na hizi hisia za sasa.