Udini sasa mpaka kwenye Mapenzi

Udini sasa mpaka kwenye Mapenzi

Serikali haihusiani na Imani zenu
Kwani mkiwatafuta wanakataa? labda linapokaribia suala la kuoana
Wanasema Mwanamke hana DINI km mkipendana Mkuu wa Wilaya au Katibu Tawala wake atawapeni Cheti ambacho ndicho hichohicho kitolewacho na Padri au Sheikh
Mimi ni Mkristo lakini nimeoa Muislam na nyumba zangu ndogo zote ni Waislamu Kennedy na Jambo 1 Serikali haihusiki na kusali kwenu au kuoa nyie ni Wakristu tafuteni Waislamu watawapenda tu na mtaamua km mbadili DINI muwe Waislamu Serikali haitahusika. Bado Waislamu wapo na hata Wapagani hizi tafrani za DINI mbili zisitukwaze kwani kuna Budha nk na hakuna aliyerudi toka waliko wafu wakatuelezea kuwa huko wanasali

CCM unahusika sana kuleta mparaganyiko wa kidini www.freemedia.co.tz/daima/habari.php?id=47614
 
Last edited by a moderator:
Ila ndiyo tulipofika bila kutafuta wa Imani yako
ni tabu ila ukweli Serikali yetu inasababisha yote

Leo asbh kuna dada kanambia wazi kuwa wa imani yake hawajaisha hivyo hana sababu
kutafuta wa Imani nyingine

Hali ni tete sana ndugu.

Umeona mkuu..ila wajinga huwa hawatafakari kauli..great thinker ni muhim kila kauli kuifikiria mara mbili mbili.
 
Jambo 1 nenda katoe ushuhuda msikitini yaweza kusaidia watoa mihadhara kuelewa athari za kukashifu dini za wengine pamoja na DVD za kashfa wanazouza misikitini
 
Ila hli suala la vikwazo ktk ndoa kutokana na dini tofauti sio suala jipya. Suala hlo limekuwa kikwazo toka enzi. Mimi pia ni muhanga wa hlo. Ila kwa sasa chuki ndo znaongezeka.

Yah kwa sasa hali ni tete sana,kabla ya kupenda kwanza unauliza dini yake.
 
duuh,,ki2 c k2,,hali c hali,,mi yashanikuta juziiii,,mdada m1 amenikataa sababu ya ukristo wangu,,suluhisho ni maelewano 2,,ila ya wahenga "mapenzi hayachagui dini wala kabila" Georgina ,jambo 1,myt na zion,..
 
Last edited by a moderator:

Msela wangu yeye wameachana yeye alikuwa RC mama Muislam walikuwa wamezaa mtoto alikuwa anaitwa Catherine Sasa wamemuita Sumaiya... hata simu za jamaa hapokei kabisa, ingawa Kabla ya hapo kila Mtu alikuwa na Uhuru wa kuabudu kivyake ila Hali ilibadilika baada ya vurugu za Buseresere na mwanaume kudai Waislamu wana makosa

Umeona mambo yanavyokuwa ovyo..,tuendako hata ukabila utakuwa sumu sana
 
Acha unafiki, hili la wa dini moja kuoana na wa dini nyingine lilishakuwa na ishu toka muda mrefu tu... Usitake kutuaminisha kuwa limeanza sasa. Wapo walioona na wapo waliokataana kwa sababu za kidini. Siyo jipya, unataka 'kueksajireti' mambo tu...
 
duuh,,ki2 c k2,,hali c hali,,mi yashanikuta juziiii,,mdada m1 amenikataa sababu ya ukristo wangu,,suluhisho ni maelewano 2,,ila ya wahenga "mapenzi hayachagui dini wala kabila" Georgina ,jambo 1,myt na zion,..

Wajinga wanadharau Kaka..hali si shwari kabisa.
 
Last edited by a moderator:
Jambo 1 nenda katoe ushuhuda msikitini yaweza kusaidia watoa mihadhara kuelewa athari za kukashifu dini za wengine pamoja na DVD za kashfa wanazouza misikitini

Mmnh hii ni mada nyingine nway..Udini ni nouma..
 
Ila hli suala la vikwazo ktk ndoa kutokana na dini tofauti sio suala jipya. Suala hlo limekuwa kikwazo toka enzi. Mimi pia ni muhanga wa hlo. Ila kwa sasa chuki ndo znaongezeka.

Pole sana ndg, kweli dini imekuwa kikwazo kikubwa sana.
Mimi pia ni mhanga, tu wakristo wote ila wa madhehebu tofauti ; mm ni RC na mwenzangu ni SDA. Hapa tayari kababy kamo tumboni na baba kijacho keshakubali kubadili dini kwaajili ya mtoto wetu ila ishu ni kwa wazazi wake, hawataki mtoto wao abadili dini afate dini ya mwanamke.........yaan ni kizaazaa tupu.
 
Mi naona wewe kama umechelewa kujua kuwa hayo maswala yapo toka muda hata kabla ya hizo vurugu za zanzibar!

Wengi hawato kwambia ukweli na watasema dini si kikwazo lakini si kweli maana siku hizi ndio imekuwa kikwazo kabisa kuna wasichana wanatengwa kwao kisa wana uhusiano wa kimapenzi na watu wa dini tofauti na yake! Kuna familia zina masharti kabisa na wanawambia watoto wao ukiolewa na mkristo usinitambue kama ni mzazi wako, na wengine wana ambiwa ukibadili dini na kuwa muislam undugu umekufa na haya yapo kila leo na haya kuanza kipindi hiki cha vurugu!

Wengi tunafikiri kuwa tukipendana tuu wawili tumemaliza na kuona wanao kuzunguka hawana nafasi japo ni furaha yako lakini ni kujidanganya kabisa! Ina fedhehesha sana umeoa alaf ndugu zako hawaji kukusalimu wala kukujulia hali kisa dini!

Kwakweli wengi wanaweza wasikubali lakini dini ni kikwazo kwenye mahusiano, na wengi huwa naulizana dini sababu muda mwingine wengi tunaoa sio tu sisi tufurahi bali hata wanao kuzunguka wafurahi!

Dini ni kikwazo kwenye mahusiano hasa yale ya kuelekea kwenye ndoa!
 
Kwenye hili waislam wamepoteza GOODWILL kwa kweli.Ila hayo ndo mavuno ya mafunzo ya chuki kutoka kwa waviongozi wao waliokosa busara.
 
Huwezi kuitenga dini na ndoa...
 
Back
Top Bottom