Nkundwe Sr
JF-Expert Member
- Nov 30, 2014
- 6,302
- 9,810
Mimi siwezi kukutukana,Dini yangu na Imani yangu inanikataza, labda kwa kukusaidia tu, hizo inchi ulizozitaja baadhi ni takatifu waliishi mitume na manabii na wamekufa na kuzikwa humo mfano IraqPUMBAVU WEWE!
KAMA ANGEANDIKA KAMA HAYA JUU PALE UNADHANI NINGEMJIBU
SHIDA SIYO KUKOSOA SHIDA NI KUTUKANA
KAMA NYIE MNATENDA MEMA KWANINI NCHI ZENYE UISLAM NDO ZINA VITA YA HALI YA JUU
SUDAN, YEMEN, SYRIA, AFGANISTANI. LIBYA, IRAQ MPAKA JUZI INDIA
WAISLAM NI DINI YENYE UKOROFI SANA NA NAWAHAKIKISHIA IPO HUKUMU INAWASUBIRI WOTE NYIE
Na muislam akibadili dini adhabu yake ni kifo.Mmechokozana huko kwenye mambo yenu ya kipuuzi halafu unawaita Waislamu wadini? Kwanza udini ni nini? Isije ikawa mtu anasimamia Imani yake wewe unamuita mdini kisa tu kakataa kufanya unavyotaka wewe.
Kuna muda mwingine baadhi ya wajinga wanahisi Uislam ni swala la kujiamulia tu. Mfano mtu mnaweza mkawa mmekaa mnafanya jambo, ukienda kuswali mjinga anakuona mdini kwasababu anahisi swala ni kujiamulia muda kumbe swala ina nyakati zake.
Ukiona mtu analalamikia udini uje huyo ni fuska fulani anayetaka watu waishi vile anataka yeye. Muislam amekatazwa kufanya ubaguzi, ila amekatazwa pia kujadiliana linapokuja swala la Imani, yaani hakuna kujificha kwenye kutekeleza Imani yake. Nyinyi udini mnaoita ni pale Muislam anapokuwa committed na Imani yake.
Kuna baadhi yenu hata mkikaribishwa majumbani kwa Waislamu ukifika muda wa swala wakatoka kwenda kuswali au wakijitenga sehemu waswali mnawaita wabaguzi. Mtaendelea kuwaona Waislamu ni wadini kwakuwa mnaamini dini ni mjadala wa kirafiki ufanye au usifanye.
Imeandikwa; hawatakuwa radhi na nyinyi mpaka mtakapofata mila zao.
Mimi siwezi kukutukana,Dini yangu na Imani yangu inanikataza, labda kwa kukusaidia tu, hizo inchi ulizozitaja baadhi ni takatifu waliishi mitume na manabii na wamekufa na kuzikwa humo mfano Iraq
Pili sijui elimu yako ya kidunia,achana na ya dini,hizo inchi zilikuwa na utulivu mkubwa lakini Marekani ambayo ndiyo inchi inayoongoza kwa wakristo duniani na ndiyo inayohamasisha Vita, ushoga na mengineyo ndiyo chanzo cha kuvuruga amani za hizo inchi
Unajua kuna tabia ya mtu kama mtu, halafu kuna masharti ya Dini kama dini hayakwepeki, mfano Mimi nilislim kabla nilikuwa mkristo, lakini ndugu zangu bado wakristo, kuna baadhi ya mambo tutatofautiana sababu Uislamu unakatazaUkweli kabisa hili la waislamu kuwabagua wakristo limenitokea kama mara mbili kuna jamaa afukasti wa kiarabu tulikuwa tunasoma nae alafu tuko jirani vyumba jamaa alikuwa anikataa kabisa unaona ata namba yangu alikua ana wakati huo roommate wangu ndo akawa rafiki yake ata darasa hawasomi pamoja hacha hiyo best friend kabisa Kawa Shekhe kapewa msikiti kanikataa Mimi nafikiri awa jamaa wenzetu kuna mafunzo Wanafundishwa.
Sijajua swali lako vizurikwahyo hizo nchi zingine hazina vita ya wenyew kwa wenyew???
Kati ya wavaa suruali vinjiwa na wale wengine
mbona unakwepa kuishi mtume au nani siyo hoja .hoja ni kwanini kuna vita na kuna uislam safi??
Mkimuyangu kiongozi sio hivyo unajua huyu niliyesema alikuwa best friend tena mwakajana Tu nilikuwa vizuri kabisa kaenda Hadi kunisaidia kazi sehemu sasa nimeanza kujiuliza huyu jamaa mbona amekata mawasiliano gafla na sijamfanyia kitu nikavuta kumbukumbu zangu alisema anapewa msikiti yeye ndo awe Shekhe na saivi ameingia kwenye dini sana sana tofauti na mwanzo Yani masaa 24 na hizo hela sijui anatafuta muda ganiUnajua kuna tabia ya mtu kama mtu, halafu kuna masharti ya Dini kama dini hayakwepeki, mfano Mimi nilislim kabla nilikuwa mkristo, lakini ndugu zangu bado wakristo, kuna baadhi ya mambo tutatofautiana sababu Uislamu unakataza
Siwezi kula kwake mfano najua kama kachinja kuku ni kibudu, siwezi kula kwake sababu vyombo anavyotumia hupikia mara nyingine nyama ya nguruwe
Najitenga na sherehe za kimila kama kunywa pombe,ubatizo,sikuku za x-mass, passaka na hata masuala yanayohusu matambiko na hata alobaini kumfanyia marehemu
Tayali kutokana na kufuata yale aliyokataza Mwenyezi Mungu tayali watasema mimi mbaguzi?
Swali ni je,uislamu ndiyo dini ya kwanza duniani?Haujaonesha hilo.Unaonesha huelewi unachokisoma.
Umeona katika ulichokisoma Uislam ulikuwepo Kilwa toka karne ya ngapi?
Ykioata jibu, sasa tuambie mkurusedi Vasco da Gama ndiye mkristo wa kwanza kuja pwani hii, tena nakukumbusha kuwa hajashuka kutoka kwenye merikebu yake, alikuja karne ya ngapi?
Ukioaya majibu ya hayo mawilinutajuwa Aedhi hii Uislam ulikuwepo miaka mingi sana ka ya dini za kujazwa ujinga na wazungu hazijafika.
Kwanza nikuulize swali, unajuwa maana ya neno Uislam?Swali ni je,uislamu ndiyo dini ya kwanza duniani?Haujaonesha hilo.
Turundike maswali kwanza au yatajibiwa ya awali?Kwanza nikuulize swali, unajuwa maana ya neno Uislam?
Ndiyo.
Acha kuongea ujinga nan atakubali uchafu wenu ?Acha upumbavu.
KAMA WEWE MSAFI SANA UKIFA USIZIKWE PITILIZA AHERA.
WEWE UKINYA UNAKUNYA KEKI??
JITU HALIJIELEWI LINAJIFANYA MALAIKA NYIE NDO WAISLAM MSIOJIELEWA.
MARA NGAPI TUNAONA MASHEKHE WENU WANAFANYA HADI UGANGA WA KIENYEJI MSKITINI KWA KUUZA DAWA ZA KIGANGA
Nimekuuliza na nimekujibu ndiyo kwa swali lako.Turundike maswali kwanza au yatajibiwa ya awali?
Mimi nashangaa sana, eti mtu anamchukia mwenzake kwasababu ya imani, na niwe mkweli wala siyo kwasababu ya udini, nyie wenzetu waislam mna chuki sana.
Yaani unakuta eti mtu anamtenga kabisa mwanajamii mwenzake eti kisa dini[emoji15] hii dunia hii ngumu sana. Yaani wewe hata humjui mtume, yaan ni imani tu ambayo umeirithi kutoka kwa ancestor wako, tena pengine hata hao hawakumuona
Halafu eti dah unachachamaa kabisa....... lets take things easy guys destiny itasema kila kitu wakati sahihi utasema, believe what you believe let others do so. kwasababu wote ndo wale wale.
Udini unasababisha kupotea kwa maisha ya watu, unafarakanisha ndugu na kupelekea uadui baina ya watu, sasa kwann tufike huko? let's go easy.
Huo ndiyo ukweli mchungu, kama wewe unauona wangu ni "uongo" , leta ukweli wako.
Kabla hujasepa, pata ushahidi mdogo, halafu na wewe ulete wako...
Mabaki ya Kilwa Kisiwani yanafunika sehemu kubwa ya kisiwa hicho huku maeneo mengi ya jiji yakiwa bado hayajachimbuliwa. Magofu makubwa yaliyosimama, yaliyojengwa kwa chokaa ya matumbawe na chokaa, ni pamoja na Msikiti Mkuu uliojengwa katika karne ya 11 na kupanuliwa kwa kiasi kikubwa katika karne ya 13, na kuezekwa kabisa kwa majumba na vaults, baadhi yamepambwa kwa porcelaini ya Kichina iliyopachikwa; jumba la Husuni Kubwa lililojengwa kati ya c1310 na 1333 na bwawa lake kubwa la kuoga lenye pembetatu; Husuni Ndogo, misikiti mingi, Gereza (gereza) iliyojengwa kwenye magofu ya ngome ya Ureno na eneo lote la mijini lenye nyumba, viwanja vya umma, viwanja vya mazishi, n.k.
Magofu ya Songo Mnara, katika mwisho wa kaskazini wa kisiwa hicho, yana mabaki ya misikiti mitano, jumba la kifalme, na baadhi ya nyumba thelathini na tatu za nyumbani zilizojengwa kwa mawe ya matumbawe na mbao ndani ya kuta zilizozingirwa.
Visiwa vya Kilwa Kisiwani na Songo Mnara vina ushuhuda wa kipekee wa kupanuka kwa utamaduni wa mwambao wa Waswahili, kuporomoka kwa Afrika Mashariki na biashara kubwa na yenye mafanikio ya Bahari ya Hindi kutoka enzi za kati hadi zama za kisasa.
Kigezo (iii): Kilwa Kisiwani na Songo Mnara vinatoa ushahidi wa kipekee wa usanifu, kiakiolojia na maandishi kwa ajili ya ukuaji wa utamaduni na biashara ya Waswahili katika mwambao wa Afrika Mashariki kuanzia karne ya 9 hadi 19, na kutoa ufahamu muhimu...
Kumbuka, huwa sikisii.
Hiyo ni tabia ya mtu wala siyo Uisilamu, kwanza Dini ya kiisilamu inafundisha kumpenda jirani yako, bila hata kuangalia dini yake,sababu ndiyo mtu wa kwanza kukusaidia ukipatwa na matatizo,
Tunafundishwa kuwapenda wanyama, hata nguruwe tu ambaye ni haramu kwetu siyo kwamba umnyime chakula au umpige, ndiyo maana hata ombaomba au wanaoitaji msaada huwa tunawapa bila kuwailiza imani yao
HALAFU WAISLAM WANJIONA WAO NDO WANAMJUA MUNGU, KUJIONA WAO WANA HAKI KULIKO WENGINE,
NI UPUUZI WA HALI YA JUU
MYAAZI WANA SHIDA
Nikirudi kwako mleta mada, uislamu umetoa muongozo wa kuwapenda watu na kuwachukia wengine vilevile, ama wasiokuwa waislamu sisi hatujakatazwa kuamiliana nao muda wa kuwa hawatufanyii uadui kwenye dini yetu wala hawatupigi vita na kututoa kwenye nyumba zetu.
Ama kwa asili ni kweli tunawachukia kwasababu nyinyi mmemkufuru mola wenu aliewaumba na muongozo aliowateremeshia kutoka kwake kwa huruma yake na mapenzi juu yenu.
Lakini chuki hii ni ibada hivyo ina vidhibiti na masharti yake na kiwango pia kinatofautiana na ndio maana mtume swala na salaam ziwe juu yake aliamiliana na wasiokuwa waislamu na aliandikiana nao mikataba, ama wale waliofanya chuki na kumpiga vita aliwapiga vita vilevile.
Lighton
Ukienda kupanga nyumba ya muislam kwanza anataka kujua jina lako,ukisema inaitwa John au Janeth bas anakwambia hakuna vyumba[emoji2][emoji2][emoji2]
Wanataka waishi wao kwa wao.
Kwa ubaguzi wa kidini walio na wenzetu waislamu wanatamani hata binadamu wengine Duniani wasiwepo wabaki waislamu tu