UDINI ni kitu kibaya sana

Waislam wangekuwa wanatenga watu, hii nchi isingekuwa na dini zingine za kiajabu ajabu.

Kumbuka kuwa dini zingine zote ziliukuta Uislam tayari upo ardhi i hii inayoitwa Tanzania leo.
Dini zingine ziliingia kutokana na ukoloni wa wazungu. Wazungu walitoa uhuru wa kueneza dini na mtu aliyepingana nao aliona cha mtema Kuni. "Na kule Zanzibar ilikuwa ni makubaliano ya masharti ya waingereza kwa waarabu as a way to seek protection from England against Portugal.
 
Waislam wangekuwa wanatenga watu, hii nchi isingekuwa na dini zingine za kiajabu ajabu.

Kumbuka kuwa dini zingine zote ziliukuta Uislam tayari upo ardhi i hii inayoitwa Tanzania leo.
Acha uongo wewe.Dah!😂😂😂😂😂
 
Acha uongo wewe.Dah!😂😂😂😂😂
Huo ndiyo ukweli mchungu, kama wewe unauona wangu ni "uongo" , leta ukweli wako.

Kabla hujasepa, pata ushahidi mdogo, halafu na wewe ulete wako...
Mabaki ya Kilwa Kisiwani yanafunika sehemu kubwa ya kisiwa hicho huku maeneo mengi ya jiji yakiwa bado hayajachimbuliwa. Magofu makubwa yaliyosimama, yaliyojengwa kwa chokaa ya matumbawe na chokaa, ni pamoja na Msikiti Mkuu uliojengwa katika karne ya 11 na kupanuliwa kwa kiasi kikubwa katika karne ya 13, na kuezekwa kabisa kwa majumba na vaults, baadhi yamepambwa kwa porcelaini ya Kichina iliyopachikwa; jumba la Husuni Kubwa lililojengwa kati ya c1310 na 1333 na bwawa lake kubwa la kuoga lenye pembetatu; Husuni Ndogo, misikiti mingi, Gereza (gereza) iliyojengwa kwenye magofu ya ngome ya Ureno na eneo lote la mijini lenye nyumba, viwanja vya umma, viwanja vya mazishi, n.k.

Magofu ya Songo Mnara, katika mwisho wa kaskazini wa kisiwa hicho, yana mabaki ya misikiti mitano, jumba la kifalme, na baadhi ya nyumba thelathini na tatu za nyumbani zilizojengwa kwa mawe ya matumbawe na mbao ndani ya kuta zilizozingirwa.

Visiwa vya Kilwa Kisiwani na Songo Mnara vina ushuhuda wa kipekee wa kupanuka kwa utamaduni wa mwambao wa Waswahili, kuporomoka kwa Afrika Mashariki na biashara kubwa na yenye mafanikio ya Bahari ya Hindi kutoka enzi za kati hadi zama za kisasa.

Kigezo (iii): Kilwa Kisiwani na Songo Mnara vinatoa ushahidi wa kipekee wa usanifu, kiakiolojia na maandishi kwa ajili ya ukuaji wa utamaduni na biashara ya Waswahili katika mwambao wa Afrika Mashariki kuanzia karne ya 9 hadi 19, na kutoa ufahamu muhimu...

Kumbuka, huwa sikisii.
 
Ndiyo ushahidi huo?Acha vibweka aisee!😂😂😂
 
Ndiyo ushahidi huo?Acha vibweka aisee!😂😂😂
Unaonesha huelewi unachokisoma.

Umeona katika ulichokisoma Uislam ulikuwepo Kilwa toka karne ya ngapi?

Ykioata jibu, sasa tuambie mkurusedi Vasco da Gama ndiye mkristo wa kwanza kuja pwani hii, tena nakukumbusha kuwa hajashuka kutoka kwenye merikebu yake, alikuja karne ya ngapi?


Ukipata majibu ya hayo mawili utajuwa Ardhi hii Uislam ulikuwepo miaka mingi sana kabla ya "dini" za kujazwa ujinga na wazungu hazijafika.
 
Ninachokipendaga siku zote,hata kama baadhi ya watu watauponda na kuupinga Uisilamu, lakini jibu lake linapokuja kwa mwenye kuelewa ni elimu tosha.
 
Kwa waislamu wenye msimamo mkali ndugu ukikana dini yao wanakuchinja kama kuku. Tunahitaji ukombozi kutoka kwenye hizi dini zetu.
Watu mnachuki mbaya, wapi hata wakati wa Mtume Muhammad (S.A.W) mtu alikataa kuingia kwenye Uisilamu akachinjwa?
Lakini kumbuka ukristo ndiyo ulifanya hivyo vitabu vya historia viko wazi
 
Hiyo ni tabia ya mtu wala siyo Uisilamu, kwanza Dini ya kiisilamu inafundisha kumpenda jirani yako, bila hata kuangalia dini yake,sababu ndiyo mtu wa kwanza kukusaidia ukipatwa na matatizo,

Tunafundishwa kuwapenda wanyama, hata nguruwe tu ambaye ni haramu kwetu siyo kwamba umnyime chakula au umpige, ndiyo maana hata ombaomba au wanaoitaji msaada huwa tunawapa bila kuwailiza imani yao
 
Chuki za kidini sio kwa Islam peke yao,Wala si wote,Kuna wakristo walokole ni wabaya wanachuki kama ya Hitler kwa wayahudi,
Nina ndugu walokole,walinitesa na kunibagua kisa mkatoric,
Usiombe kubaguliwa kidini Tena na ndugu zako,
Kubagua watu kisa dini,au kabila ni ushetani kabisa,
 
Wakristo na waislam
wote hamjielewi
wafia dini wote ni wa hovyo.
mmeua uafrika kisa mambo yenu ya ajabu
mnakera
Kwani umeshikiwa fimbo mkuu? kwanini wewe usituanzishie njia ya kufuata uafrika uanze kuvaa kipande cha ngozi kusitiri uchi tu kama wale ancestors wetu, halafu tutaendelea na mada.
 
HALAFU WAISLAM WANJIONA WAO NDO WANAMJUA MUNGU, KUJIONA WAO WANA HAKI KULIKO WENGINE,


NI UPUUZI WA HALI YA JUU

MYAAZI WANA SHIDA
 
Nikirudi kwako mleta mada, uislamu umetoa muongozo wa kuwapenda watu na kuwachukia wengine vilevile, ama wasiokuwa waislamu sisi hatujakatazwa kuamiliana nao muda wa kuwa hawatufanyii uadui kwenye dini yetu wala hawatupigi vita na kututoa kwenye nyumba zetu.

Ama kwa asili ni kweli tunawachukia kwasababu nyinyi mmemkufuru mola wenu aliewaumba na muongozo aliowateremeshia kutoka kwake kwa huruma yake na mapenzi juu yenu.

Lakini chuki hii ni ibada hivyo ina vidhibiti na masharti yake na kiwango pia kinatofautiana na ndio maana mtume swala na salaam ziwe juu yake aliamiliana na wasiokuwa waislamu na aliandikiana nao mikataba, ama wale waliofanya chuki na kumpiga vita aliwapiga vita vilevile.

Lighton
 
Ukienda kupanga nyumba ya muislam kwanza anataka kujua jina lako,ukisema inaitwa John au Janeth bas anakwambia hakuna vyumba[emoji2][emoji2][emoji2]

Wanataka waishi wao kwa wao.

Kwa ubaguzi wa kidini walio na wenzetu waislamu wanatamani hata binadamu wengine Duniani wasiwepo wabaki waislamu tu
 

Acha upumbavu.

KAMA WEWE MSAFI SANA UKIFA USIZIKWE PITILIZA AHERA.


WEWE UKINYA UNAKUNYA KEKI??

JITU HALIJIELEWI LINAJIFANYA MALAIKA NYIE NDO WAISLAM MSIOJIELEWA.

MARA NGAPI TUNAONA MASHEKHE WENU WANAFANYA HADI UGANGA WA KIENYEJI MSKITINI KWA KUUZA DAWA ZA KIGANGA
 
HALAFU WAISLAM WANJIONA WAO NDO WANAMJUA MUNGU, KUJIONA WAO WANA HAKI KULIKO WENGINE,


NI UPUUZI WA HALI YA JUU

MYAAZI WANA SHIDA
Hiyo ndiyo chuki yenyewe, sasa wewe ulitakaje? Mfano yeye hali kibudu anakula kilichochinjwa kwa jina la Mwenyezi Mungu, Anaamini Mungu mmoja,hanywi pombe, na mengineyo mtalingana na mtu kama huyu?
 
Hiyo ndiyo chuki yenyewe, sasa wewe ulitakaje? Mfano yeye hali kibudu anakula kilichochinjwa kwa jina la Mwenyezi Mungu, Anaamini Mungu mmoja,hanywi pombe, na mengineyo mtalingana na mtu kama huyu?

PUMBAVU WEWE!

KAMA ANGEANDIKA KAMA HAYA JUU PALE UNADHANI NINGEMJIBU

SHIDA SIYO KUKOSOA SHIDA NI KUTUKANA


KAMA NYIE MNATENDA MEMA KWANINI NCHI ZENYE UISLAM NDO ZINA VITA YA HALI YA JUU


SUDAN, YEMEN, SYRIA, AFGANISTANI. LIBYA, IRAQ MPAKA JUZI INDIA


WAISLAM NI DINI YENYE UKOROFI SANA NA NAWAHAKIKISHIA IPO HUKUMU INAWASUBIRI WOTE NYIE
 
Kwa kweli ni kazi kubwa sana kama usipojua imani ya mtu,Sisi tunamridhisha Mwenyezi Mungu siyo binadamu, mfano nikikupangasha nyumba kwangu wewe usiyekuwa Muisilamu halafu ukawa unaona ni haki kwako

kunywa pombe, kula nguruwe kuishi na mwanamke bila ndoa, kutundika masanamu na misalaba nyumbani kwangu na kulitaja jina la Yesu kama Mungu ndani ya nyumba yangu huoni unaniingiza kwenye madhambi makubwa nikiwa hai hata kama nimekufa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…