Yesu, alayhi salaam, alikuwa dini gani na kabila gani?Dini ya waarabu wewe ina kuhusu Nini? Wewe mwarabu? Babu wa babu wa babu yako alikuwa hana dini? Ukiangalia..Muhindi ana dini yake, mchina ana dini yake, mjapan ana dini yake, Mzungu ana dini yake.. mwafrika tu ndo mtu mjinga ambae hana dini yake, anadandia dini za race zingine
Yesu ndo alikuwa babu yako mzaa babu?Yesu, alayhi salaam, alikuwa dini gani na kabila gani?
Wewe ni nani mpaka unadiriki kusema hivi...kwa vile yeye ni mlevi ,mzinzi
Rudia kusoma usikurupuke kwani dhambi si zinajulikana.!Wewe ni nani mpaka unadiriki kusema hivi...
Tunaangamia kwa kukosa maarifa.
Haswaa, ulijuwaje? Hodari sana wewe, tena alikuwepo pwani ya Kisiju.Yesu ndo alikuwa babu yako mzaa babu?
Naunga mkono hoja.Mimi nashangaa sana, eti mtu anamchukia mwenzake kwasababu ya imani, na niwe mkweli wala siyo kwasababu ya udini, nyie wenzetu waislam mna chuki sana.
Yaani unakuta eti mtu anamtenga kabisa mwanajamii mwenzake eti kisa dini[emoji15] hii dunia hii ngumu sana. Yaani wewe hata humjui mtume, yaan ni imani tu ambayo umeirithi kutoka kwa ancestor wako, tena pengine hata hao hawakumuona
Halafu eti dah unachachamaa kabisa....... lets take things easy guys destiny itasema kila kitu wakati sahihi utasema, believe what you believe let others do so. kwasababu wote ndo wale wale.
Udini unasababisha kupotea kwa maisha ya watu, unafarakanisha ndugu na kupelekea uadui baina ya watu, sasa kwann tufike huko? let's go easy.
Nifafanulie kwanini masheikh na waumini wengi wa Kiislam wanafuga majini wa vitabu (wabaya) na kuwatumia kama vile chuma ulete na kuwapa watu wengine mateso....ndivyo Mungu anavyosema hivi kwenye vitabu vyenu?yaani umeonyesha uhalisia wako jinsi ulivyokuwa na chuki kwa Waisilamu,kwanza nashindwagwa kuelewa hivi mbona baadhi ya watu wanaonaga kuyataja hayo majini ni rahirahisi tu,labd sababu hawana elimu nayo
Kwa bahati nzuri nimekuwa muumini wa dini zote mbili ukristo na Uisilamu,wakati tuko wakristo hatukuwahi kufundishwa jinsi ya kujikinga na hivi viumbe, lakini nilipoingia kwenye Uisilamu nilifundishwa kuhusu elimu ya majini, kwamba wapo wabaya wanazulu watu na kuna wema ambao tunaswali nao msikitini,
Kwa tafsiri yake majini wapo hata bar, hata kwenye mikusanyiko ya watu, lakini je wewe mwingine usiyekuwa muisilamu unajua jinsi ya kujikinga nayo
Nitakujibu mimi kama mimi,Nimefundishwa na kuelimishwa Elimu inayohusiana na Uganga,Yaani tiba za jadi, zinazohusiana kuanzia miti shamba, kitabu cha Mungu na Uchawi ndani yake.Nifafanulie kwanini masheikh na waumini wengi wa Kiislam wanafuga majini wa vitabu (wabaya) na kuwatumia kama vile chuma ulete na kuwapa watu wengine mateso....ndivyo Mungu anavyosema hivi kwenye vitabu vyenu?
Mkuu uko nje ya box[emoji3] mim sijaprom dini yangu mimi nimeongea uhalisia., halafu hii thread inakemea udini.Uwongo mtupu.
Ingekuwa tunawatenga tungewapataje makundi kwa makundi wanaotoka kizani na kuiona nuru ya Uislam? Fikiri.
Tena wale haters kama wewe wasiojijuwa ndiyo tunapenda sana kuwaweka karibu muuone wema wa Uislam.
natafakari[emoji848]Nitakujibu mimi kama mimi,Nimefundishwa na kuelimishwa Elimu inayohusiana na Uganga,Yaani tiba za jadi, zinazohusiana kuanzia miti shamba, kitabu cha Mungu na Uchawi ndani yake.
Kila mtu atakubaliana na mimi kabla ya kuja wakoloni, jamii yetu ilijitibu kwa miti shamba, siyo dhambi wala uchawi, dhambi inaanza pale utakapoambiwa unapokunywa hii dawa usimame katikati ya mlango au uangalie jua linapochomoza na useme maneno haya,hii haichagui uwe mpagani au mkristo umeshaingia kwenye ushirikina,
Na Quruani ni tiba, kuna aya ukizisoma unapoingia kulala, Unalindwa na vitu vibaya vyote kuanzia majini mpaka wachawi, na vilevile kuna aya ukisoma kama unaumwa unapona,
Lakini kuna watu kwa kufata matamanio ya Dunia wanachanganya mambo ya Uisilamu na uchawi, ndiyo maana tukafundishwa ni jinsi gani nitamgundua mganga mchawi,kwanza anakuwa na vitambaa vyeupe na vyekundu,mikia ya wanyama,ngozi za wanyama, mapembe ya wanyama na mengineyo,
Halafu hupenda kukwambia mambo yajayo kama vile kukutabilia ya kesho au kukukwambia sijui unarogwa na nani na mengineyo huo ndiyo uchawi,haijalishi huyo mtu ni mkristo, Muisilamu au mpagani
Wacha upuuzi, binamu yangu mimi ni mchawi haswa na anatumia Qur'an kuroga watu.Nitakujibu mimi kama mimi,Nimefundishwa na kuelimishwa Elimu inayohusiana na Uganga,Yaani tiba za jadi, zinazohusiana kuanzia miti shamba, kitabu cha Mungu na Uchawi ndani yake.
Kila mtu atakubaliana na mimi kabla ya kuja wakoloni, jamii yetu ilijitibu kwa miti shamba, siyo dhambi wala uchawi, dhambi inaanza pale utakapoambiwa unapokunywa hii dawa usimame katikati ya mlango au uangalie jua linapochomoza na useme maneno haya,hii haichagui uwe mpagani au mkristo umeshaingia kwenye ushirikina,
Na Quruani ni tiba, kuna aya ukizisoma unapoingia kulala, Unalindwa na vitu vibaya vyote kuanzia majini mpaka wachawi, na vilevile kuna aya ukisoma kama unaumwa unapona,
Lakini kuna watu kwa kufata matamanio ya Dunia wanachanganya mambo ya Uisilamu na uchawi, ndiyo maana tukafundishwa ni jinsi gani nitamgundua mganga mchawi,kwanza anakuwa na vitambaa vyeupe na vyekundu,mikia ya wanyama,ngozi za wanyama, mapembe ya wanyama na mengineyo,
Halafu hupenda kukwambia mambo yajayo kama vile kukutabilia ya kesho au kukukwambia sijui unarogwa na nani na mengineyo huo ndiyo uchawi,haijalishi huyo mtu ni mkristo, Muisilamu au mpagani
Usidanganye watu wewe mwanamke, waarabu walivyokuja kufanya biashara yao haramu ya utumwa walifikia kwenye maeneo ya mwambao wa Afrika Mashariki.Waislam wangekuwa wanatenga watu, hii nchi isingekuwa na dini zingine za kiajabu ajabu.
Kumbuka kuwa dini zingine zote ziliukuta Uislam tayari upo ardhi i hii inayoitwa Tanzania leo.
Sasa nilichodanganya ni kipi? Mwenyewe unakiri Uislaam tauari ulikuwepo pwani yote.Usidanganye watu wewe mwanamke, waarabu walivyokuja kufanya biashara yao haramu ya utumwa walifikia kwenye maeneo ya mwambao wa Afrika Mashariki.
Hivyo ni ktk hayo maeneo ndipo walipoeneza zaidi dini ya kiislamu lakini maeneo mbalimbali ya bara uislamu haikuingia kihivyo.
So please be informed accordingly and stop the religious fallacy.
Mimi nashangaa sana, eti mtu anamchukia mwenzake kwasababu ya imani, na niwe mkweli wala siyo kwasababu ya udini, nyie wenzetu waislam mna chuki sana.
Yaani unakuta eti mtu anamtenga kabisa mwanajamii mwenzake eti kisa dini[emoji15] hii dunia hii ngumu sana. Yaani wewe hata humjui mtume, yaan ni imani tu ambayo umeirithi kutoka kwa ancestor wako, tena pengine hata hao hawakumuona
Halafu eti dah unachachamaa kabisa....... lets take things easy guys destiny itasema kila kitu wakati sahihi utasema, believe what you believe let others do so. kwasababu wote ndo wale wale.
Udini unasababisha kupotea kwa maisha ya watu, unafarakanisha ndugu na kupelekea uadui baina ya watu, sasa kwann tufike huko? let's go easy.
Wewe ulisema uislamu uliingia Tanzania kumbe ilikuwa ni katika sehemu ndogo tu ya hiyo Tanzania sasa na wewe unatakiwa uelewe hilo ili ionekane kwamba hata wewe una elimu dunia na sio ya madrassa tu ya kukariri kama kasuku.Sasa nilichodanganya ni kipi? Mwenyewe unakiri Uislaam tauari ulikuwepo pwani yote.
Unaelewa unachokisoma au unakurupuka kwa chuki za kijinga tu?
Waliokuwepo kwanza ni nani huko pwani ambako ndiyo lilikuwa lango kuu.
Tumia kichwa chako kufikiri siyo kukiwacha kama mzigo tu mabegani mwako.
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Sijawahi kusema "uislamu uliingia Tanzania".Wewe ulisema uislamu uliingia Tanzania kumbe ilikuwa ni katika sehemu ndogo tu ya hiyo Tanzania sasa na wewe unatakiwa uelewe hilo ili ionekane kwamba hata wewe una elimu dunia na sio ya madrassa tu ya kukariri kama kasuku.