-Udini
-Ukabila
-Ubaguzi wa rangi
-Ubaguzi wa maimbo demu mwembamba unamnyanyapaa unataka wanene wenye mizigo
-Wanaume wafupi hamuwataki mnawataka warefu wembamba weusi
Hivyo vyote vitu vibaya mkuu sio udini peke yake
Ni kweli kabisa Waafrika sio tu wanabaguzi Kwenye Dini Bali mambo mengi ambayo wameyakuta tu Kwa kuletewa au Kuiga au kuumbiwa nayo tu.
MTU akizaliwa akiwa mweupe au mweusi au Mrefu au mfupi au mwenye makalio na manyonyo makubwa SIO juhudi yake Hivyo hapaswi kabisa kumbagua mwingine .
MTU amezaliwa kwenye kabila au familia au Jamii ya Dini Fulani hapaswi kabisa kumbagua mwenzake kwani ameikuta tu hiyo Dini kwanye Jamii yake Kama itampeleka Mbinguni au peponi Basi amshukuru Mungu Kwa kupata neema ya kuzaliwa kwenye Dini hiyo Huku akitenda matendo mema lakini SIO kuwabagua wenzake .
Mara nyingi Wenye Tabia hizo za ubaguzi Kwa kutumia vitu walivyojaliwa tu kuvikuta wengi ni Waafrika wenye akili ndogo na tamaa na ubinafsi.
Watu Siku Hizi wanasahau kuwa Dunia hii ni mapito tu na SIO makazi ya kudumu.
Watu Wote wanakufa na kuoza na kubaki mamifupafipa na Wote wanaliwa na wadudu na kuoza na kunuka bila kujali uzuri Wa sura Wala dini . Anachoenda nacho kitakachomsaidia Huko kwenye asili ya binadamu ni matendo mema . Na Kuna MTU akiona MTU anakubali kupokea Kila kitu chake Hata kama ni kibaya Kama ushabiki tu. Basi tu ni Tabia ya MTU mbaguzi . MTU anafungua biashara eneo lenye Watu Wa kabila Fulani watu wanambagua Kwa sababu ya kabila lake.
Kuna MTU akimuona tu MTU Mweusi au mfupi anamchukia bila sababu yoyote.
Vitabu Vya Dini vililetwa Ili kuondoa ubaguzi na Chuki lakini vinatumika vibaya na kujikuta vinaleta ubaguzi Mbaya zaidi na unaojengeka kuanzia moyoni .
Vitabu Vya Dini vinaruhusu watu kupigania Haki Kwa namna yoyote.
Ndio Maana Kuna wakati Dini zingine zinaruhusu mpaka vita . Lengo ni kuondoa dhulma.
Hiví Kwa Mfano Kwa dhulma za Wazungu kama asingetokea Osama Leo Waarabu wangeruhusiwa kutawala ULAYA mpaka Kununua majumba na kuoa wanawake Wa Kizungu ndoa za mitaala? Jibu ni Hapana? Dhulma ya wazungu ilimuibua Osama. Wazungu wangesimama kama Wakristo Wa kweli na kuhubiri matendo mema Kwa vitendo bila shaka Hata Uislam usingetokea Karne ya Sita.
Waafrika tulitawaliwa Kwa sababu ya Kubaguana wenyewe Kwa wenyewe kimakabila ndio Maana Kuna makabila mengi sana Afrika na Kila kabila linajiona ni Bora kuliko kabila lingine. Mpaka Leo Mfano Wachaga, Wamasai, Wahaya , Wanyiramba, Waha, Wanyakyusa, Wamakonde, Wangoni, Waman'gati ndiyo makabila yenye ukabila mkubwa sana kuliko makabila mengine. Hali inayowafanya kuwa Wabaguzi ,wabinafsi na wasiojali Ustawi wa watu wengine kijamii, kisiasa na kiuchumi.