KadaMpinzani
JF-Expert Member
- Jan 31, 2007
- 3,715
- 94
Mwafrika wa Kike. naomba kukuliza wakati DR. Gharib Bilal alipotaka kugombea urais wa Zanzibar na wazanzibar walimkubali akapitishwa vikao vyote. lakini kwa vile Bara alikuwa hakubaliki hakuweza kufika popote kwa nguvu za Bara.
tunaposema CCM tuna maana Tanania Bara na nimekuwekea takwimu zote kuwa watendaji wengi ni wakristu hilo lazima ukubali kama wenyeviti na makatibu wa wilaya waislam hawafiki nusu ya wakristu bado unasema chama cha waislam mimi sikuelewi.
turejee kipindi cha Mkapa kuwa rais yeye alikuwa mkristu kama mtendaji mkuu wa serikali na waziri mkuu mkristu.
mwenyekiti wa CCM alikuwa Mkapa- mkristu, makamu mwenyekiti malecela-mkristu, katibu mkuu alikuwa Mangula mkristu, katibu mwenezi- Jacksom Msome Mkristu, hadi kwenye kinyanganyiro cha kugombea urais fomu lazima ukabidhiwe na mkristu- Matson Chizi.
spika nae ni mkristu hakuna aliyesema CCM ni chama cha kikristu.
Mwafrika wa Kike usipindishe mada wajumbe wa Zanzibar hawatuhusu hawana athari yeyote. chama ni bara nao wanajua.
au muulize Dr. Salmin Amour atakwambia.
nipe watendaji wa chama Tanzania Bara dada yetu.
Mie si SISIEM na sijawahi kuwa SISIEM, lakini ktk kitu ambacho SISIEM sio licha ya matatizo yao yooooooote basi ni kuitwa chama cha waislam.........that is totally and completely ridiculous, hapo Bill Maher wa "real time" ktk HBO angesema political incorrectiness at its best. Kama hiyo ndio "straight shooting" basi mie siendi tena kwenye targeting range!!.
Cha kushangaza bin muujiza ni kwamba angalia ni nani anayeongoza hii chaji hapa ktk thread hii.........jibu ni "Lady JF" with 16 posts, amazing uuunh??!!! halafu kuna mtu anasema ati huyu ni mfano wa kuigwa ktk ku-fight mafisadi wa JF. Labda neno fisadi na hasa ukisema mafisadi wa JF lina maana nyingine!! just thinking aloud.
Weekend Njema Wandungu. JF Oyeeeeee( Kama ile ya Forrest Whittacker "Idd Amin" ktk The last King of Scoland, aliposema Uganda Oyeeeeee). I hope u get it!!!!! kwikwikwikwi.
Huna mpya,kila siku una recycle kwikwikwi. Toa basi hiyo post ambayo nimeaga!! nipo mitaa ya big apple watu wameanza ma-thanxgiving, what's up?
Kijike cha kiafrika
Kama kawaida yako huna mpya........halafu naanza kuhisi wewe ni katoto kajinga, soma ulichoandika hapo juu!! yaani kama mtu wa darasa la saba. Sijawahi kuaga, sita aga, kama unataka nijitoe kama Mchambuzi basi hapa umenoa.Sema utakavyo juu ya harvard, lakini facts zitabaki kuwa facts. Ndio maana watanzania wana-reject upinzani kwikwikwikwi kwani "watu" wenyewe ndio nyie, dhufri hali, bure ghali. Mkiwekwa kwenye kona kidogo tu basi huishiwa hoja kiurahisi na kuanza vioja, kazi yako kuuuuubwa hapa ni kupiga debe la kujengea watu sifa mbaya kwa ufitinishi. Ati utasema YNIM anapondea JF!!! thats a lie and you know it. Unasema, YNIM anamshambulia MKJJ, nope, hiyo ni kwasababu uwezo wako wa kuelewa ni mdogo..the dude ni one of my favorate hapa JF na mengi mengine ambayo sina muda wa kuyaweka yote hapa.......nakupa sifa moja tu dada lake, kwamba u'r good ktk mud slinging, lakini mie sita-quit nitakuwa naku-engage na small arms fire mpaka mwenyewe utachemsha na wapambe wako kukukimbia!!!.
Kijike cha kiafrika
Kama kawaida yako huna mpya........halafu naanza kuhisi wewe ni katoto kajinga, soma ulichoandika hapo juu!! yaani kama mtu wa darasa la saba. ....!!!.
Sawa lakini wabongo wanakurudisha madarakani kila mwaka tena waislamu kwa wakristo!! whats up!. kajilengeshe basi kwenye railway track upingwe mzinga na la mizigo.
vi-comp vitawamaliza na chama chenu hicho cha kidini