Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,077
- 34,849
Mkuu ningeomba unipe maana aya CCM kwa lugha ya kiingereza mkuu uliyetowa hii Thread asante.Kuna mtu aliwahi kusema hapa kuwa kuna makubaliano ndani ya CCM kuwa na uwakilishi sawa wa dini kubwa nchini za uislam na ukristo. Matokeo ya uchaguzi Dodoma yanaonyesha kuwa waislam sasa wana-nafasi asilimia 75 ya uongozi wa CCM.
Ilivyokuwa CUF na viongozi wengi waislam watu waliita cuf, chama cha waislam. Sijui kama CCM itaitwa the same name? Viongozi wakuu wanne, Kikwete, Karume, Msekwa, na Makamba; ratio inaonekana tayari. Kwa kamati kuu (CC), ratio ipo wazi, cha ajabu hata NEC, ni the same trend.
Haya ni makubaliano ndani ya ccm au ni mabadiliko ya yale makubaliano ya awali? Naomba kuwasilisha
kwa hiyo Mgaya unataka kuniambia kuwa hii percentage ndiyo inayosababisha CCM na Serikali kwa ujumla kuwa weak kioungozi? tufafanulie wana jamii!Matokeo ya uchaguzi Dodoma yanaonyesha kuwa waislam sasa wana-nafasi asilimia 75 ya uongozi wa CCM.
Kuna mtu aliwahi kusema hapa kuwa kuna makubaliano ndani ya CCM kuwa na uwakilishi sawa wa dini kubwa nchini za uislam na ukristo. Matokeo ya uchaguzi Dodoma yanaonyesha kuwa waislam sasa wana-nafasi asilimia 75 ya uongozi wa CCM.
Ilivyokuwa CUF na viongozi wengi waislam watu waliita cuf, chama cha waislam. Sijui kama CCM itaitwa the same name? Viongozi wakuu wanne, Kikwete, Karume, Msekwa, na Makamba; ratio inaonekana tayari. Kwa kamati kuu (CC), ratio ipo wazi, cha ajabu hata NEC, ni the same trend.
Haya ni makubaliano ndani ya ccm au ni mabadiliko ya yale makubaliano ya awali? Naomba kuwasilisha
Ni muhimu kuwa makini kuliko kupandisha fikra za chuki kwa kujadili udiniamini usiamini udini unatisha nchi hii hasa baada ya kuingia huyu bwana kikwete................
Kama basi CCM ni Chama cha viongozi Waislamu, basi karibuni CCJ ni Chama cha Viongozi Wakristo.
Tutakoma mwaka huu.
Naomba nipewe Takwimu:
Wakuu wa Mikoa wangapi Wakristo?
Makatibu wakuu wangapi waislaam?
Wakuu wa Wilaya wangapi wapagani?
Wasiokuwa na ajira wangapi waislaam,
Wanaoingioa Dar university wagapi wapagani?
Naomba nipewe Takwimu:
Wakuu wa Mikoa wangapi Wakristo?
Makatibu wakuu wangapi waislaam?
Wakuu wa Wilaya wangapi wapagani?
Wasiokuwa na ajira wangapi waislaam,
Wanaoingioa Dar university wagapi wapagani?
Helo wanajamii forums, maisha yanaendaje? Ndo kwanza nimejiunga tuko pamoja 2010 kujadili maswala mbalimbali yanayoihusu jamii yetu. Ila nawakumbusha kuwa tusijaribu kutoboa mtumbwi uliotubeba kwa maana tutaangamia wote. Tchao!