mkuu nilitaka kukumbusha tu, mijadala kama hii huwa ni sensitive na usiwaingize wasiokuwemo, vinginevyo unawachokoza, ungezungumzia hao ccm na cuf bila kuhusisha nyumba za ibada, ww ni mkiristo mimi sipo upande wowote ila kama tunataka kujadili kwa manufaa ya nchi yetu usiwachokoze wanadini waache wapambane katika viwanja vyao!
kiongozi ni uadilifu wa mtu binafsi bila kuangalia ni dini gani, wapo viongozi wazuri waislam, wapo viongozi wabaya wakristo hapo utasemaje?
mimi nina ndugu na marafiki waislam na pombe kama kawaida, nina ndugu zangu walokole uzinifu umewatawala, lakini hayo ni too personal ninaaamini dini yao haiwafundishi hivyo.
tunahitaji viongozi waadilifu na wachapa kazi bila kuangalia kabila wala dini yao, tuliishakosea toka nyuma, faida ni kuwa na viongozi mafisadi hawana wito na kazi yao, yatupasa kubadilika
Huu ni mtizamo wa kupotosha watu. CCM inachosema kuwe na uwiano mzuri (sio uwakilishi sawa) kati ya wajumbe kutoka Zanzibar na Wa- Bara. Hebu kuwa na tabia ya uchambuzi. Katika hicho Chama unaweza kuisabu ukaona waislamu ni wengi katika vikao CC au Halmashauri Kuu. Hii ni kwa sababu tu kule Zenj wote - karibu ni Waislamu. sasa ukitaka kuweka uwiano na upate wajumbe wa kutosha kutoka Zenj - si ndio waislamu wanajaa. Pamoja na yote hayo acha hii mbiu ya Ukristo na Uislamu haitengenezi kitu katika jamii yetu. Tuache tubakie hapa tulipo kuhusu masuala ya dini.Kuna mtu aliwahi kusema hapa kuwa kuna makubaliano ndani ya ccm kuwa na uwakilishi sawa wa dini kubwa nchini za uislam na ukristo. Matokeo ya uchaguzi dodoma yanaonyesha kuwa waislam sasa wana-nafasi asilimia 75 ya uongozi wa ccm.
...Mpummbavu wewe!!! labda kama wewe ndio ulisimamia sensa iliyokupa hizi takwimu.Swadakta!!! Afterall Waislam ni majority hapa nchini, kama kuna dalili ya ubaguzi CCM, Muslims aginst Christian hili wote tutalipinga kwa nguvu zote, lakini kama imehapen kua wengi sio tatizo kwa sababu waislam ni majority anyway!!!
...Mpummbavu wewe!!! labda kama wewe ndio ulisimamia sensa iliyokupa hizi takwimu.
Kwa msingi huu, kama wanaccm hapa walikiita chama cha cuf cha kidini kwa sababu ya viongozi wake. Nadhani sasa inabidi ccm pia kiitwe chama cha waislam.
Kuanzia sasa kwa mtizamo wangu na imani yangu ya jino kwa jino dhidi ya ccm kwa kuiita cuf chama cha kidini. Kuanzia leo ccm inabadilishiwa jina hapa kutoka CCM kwenda CCW.
CCW inamaanisha Chama Cha Waislam
..kama mm sijafunzwa wewe uliyefunzwa usingeandika upuuzi huo ulioandika!! kuonyesha kufunzwa kwako!!kufunzwa kwako kumekufanya mjinga zaidi!!Haya mimatusi yanatoka wapi?? Hujafunzwa kwenu ?? Hili nijanvi la mjadala sio jazba
..kama mm sijafunzwa wewe uliyefunzwa usingeandika upuuzi huo ulioandika!! kuonyesha kufunzwa kwako!!kufunzwa kwako kumekufanya mjinga zaidi!!
Gamba la nyoka nafikiri hujaelewa aliyosema Rev Kishoka,sijaona any insults kwa waislam hapo,seems he care less kama atakayechaguliwa ni muislam au mkristo as long wata deliver!
Kwani Mkuu hatuwezi kujadili hoja bila kutumia lugha za kistaarabu plz be gentleman...kama mm sijafunzwa wewe uliyefunzwa usingeandika upuuzi huo ulioandika!! kuonyesha kufunzwa kwako!!kufunzwa kwako kumekufanya mjinga zaidi!!
Niright yangu kuandika nionacho ona nisawa, kama ukubakiani na hoja zangu wewe lete hoja mbadala inayosema wakirso ni majoriy hapa nchini lakini sio matusi, otherwise matusi yako unayoandika wewe ndo utaonekana mpuuzi
Hatutaki matuzi humu we nenda kapige porojo mitaani kama huna hoja. Malhun we.
mkuu nilitaka kukumbusha tu, mijadala kama hii huwa ni sensitive na usiwaingize wasiokuwemo, vinginevyo unawachokoza, ungezungumzia hao ccm na cuf bila kuhusisha nyumba za ibada, ww ni mkiristo mimi sipo upande wowote ila kama tunataka kujadili kwa manufaa ya nchi yetu usiwachokoze wanadini waache wapambane katika viwanja vyao!
kiongozi ni uadilifu wa mtu binafsi bila kuangalia ni dini gani, wapo viongozi wazuri waislam, wapo viongozi wabaya wakristo hapo utasemaje?
mimi nina ndugu na marafiki waislam na pombe kama kawaida, nina ndugu zangu walokole uzinifu umewatawala, lakini hayo ni too personal ninaaamini dini yao haiwafundishi hivyo.
tunahitaji viongozi waadilifu na wachapa kazi bila kuangalia kabila wala dini yao, tuliishakosea toka nyuma, faida ni kuwa na viongozi mafisadi hawana wito na kazi yao, yatupasa kubadilika
Kwi kwi kwi kwi,
kuna mengi yameandikwa hapa ya kuchekecha na kuhuzunisha ila hili la kubadili CCM kuwa CCW limenichekesha sana. Wewe Mgaya, umevuta nini kabla ya kuandika hayo hapo juu?
Ama kweli siasa mchezo mchafu.
....hakuna sensa ....inayouliza dini ya mtu tanzania...kwa hiyo figure inayopendelea dini moja wapo ni unsignificant...
ni wazi kuwa waislamu wengi wapo mijini...na wakristo wengi wapo mashambani....zaidi ya hapo waislamu wengi walitapakaa kwenye Traders route[slave route].....kuuanzia kigoma =bagamoyo hadi zanzibar...
nadhani ni upotezaji wa muda kubishana nani wapo wengi......tuongee mambo mengine,,,,,...
Hii ni Sensa iliyofanywa na CIA 2007
Religions
mainland - Muslim 35%,
indigenous beliefs 35%,
Christian 30%;
Zanzibar - more than 99% Muslim
sourse CIA facebook
Hii nifact sio kwamba unapoteza muda nivizuri kujifunza kituambacho ulikua hukijui, Kutokana na sensa iliyofanywa na CIA sishangai kwanini waislam niwengi CCM, CUF ninacho shangaa nikwanini niwachache CHADEMA na SERIKALINI ????
Serikali ya TZ kukataa kufanya sensa kujua wepi majority haimaanishi kua hakuna majority, labda wanasera za kuwanyima majority opportunities wanazo-deserve.