Mgagagigikoko
JF-Expert Member
- Jul 1, 2007
- 474
- 0
Ukikuta wajinga wawili wanafanya ujinga na wewe ukamuona mmoja tu na kumuita mjinga, basi unachofanya ni kuthibitisha ujinga wako. Hivyo wajinga wawili wakifanya wote ujinga, wote wawili wanaitwa wajinga, hiyo ndiyo inaitwa hekima.
Wakati utnaendea na hizi hate spinnings tukumbuke kuwa mwisho wa siku ni Tanzania nditi itakayoripuka na hata kama wewe ni wa "just landed" class wapo wanaokuhusu watakaogeuka kama wakina mama na watoto wa Somalia......
Unaweza ukadhani unawakomoa wao (CCM) kumbe ukawa unaneemesha mbegu za maangamizo yako mwenyewe.......
Suala la wenye majina ya kislamu kuonekana kuwa wengi katika CCM-CC ni inakuwa factored wa nafasi maalum ya Zanzibar. Ukipiga mahesabu ya CCM-Tanganyika ni wazi wenye majina ya kikristo ni wengi Zaidi ya Waislamu.
Tanzanianjema
Mimi nimesha msamehe mwankijiji, Hajui alisemalo
Ile Mada Ya Viongozi Wa Kichagga Waachie Ngazi Iko Wapi? Niwe Na Mushi Muda Huu Nina Nondo Nzito.the Point Has Been Made... Ukijua Hili Wenzio Wanajua Lile!
The point has been made... ukijua hili wenzio wanajua lile!
lakini Mkuu Wangwe Naye Huoni Katumwa Kuleta Vurugu?
Sasa Kama Ni Umoja Anataka Ni Kwa Style Ya Kukigeuza Chama Kiwe Cha Kabila Gani?
Maana Hata Yeye Maslahi Yake Ni Kuhusu Mara Tu!
Akizungumza Anasema Ni Wachagga Hawataki Kupeleka Pesa Huko Mara!
Afadhali Angekuwa Anaongea Kwa Niaba Ya Mikoa Yote Kwasababu Si Mikoa Yote Wala Wajumbe Wa Mikoa Yote Wanaotoa Tuhuma Nzito Nzito Kama Zake!
Sasa Hata Akitokea Mtu Akizungumzia Kuhusu Epa Yeye Anarudi Tena Na Racial Slurs!
Hapa Simtetei Mkjj Lakini Simtetei Wangwe Neither!
Lakini Nikilazimishwa Ni Take Side Basi Ofcourse Nitatake Side Ya Mkjj Kwani At Least Anajenga Hoja Na Ana Make Sense Licha Ya Kwamba We Dont See Eye To Eye All The Times.
Mzee Mwanakijiji naona sasa kijijini umeamua kufuatilia kotekote kujua kile kinachoendelea ndani ya siasa za Tanzania.
Swali kubwa sana ambalo limekuwa linaulizwa hapa bila kupata majibu toka kwa wana ccm. Kama kuna uwezekano wa kuangalia majina ya watu na kujua makabila, mikoa, lugha, wake/waume, wakwe, watoto, dini na mengine mengi katika chama kikubwa cha upinzani Tanzania - CUF au chama kinachochipuka cha Chadema, basi kipimo hicho chaweza kutumika kabisa kujua kama kuna udini au hata ukabila ndani ya chama tawala cha ccm.
Kazi kweli kweli Mzee Mwanakijiji.
hata sisi tumekusamehe kwani hujui ulitendalo,pole sana!!Mimi nimesha msamehe mwankijiji, Hajui alisemalo
Wangwe kakukosea nini?Hadi hivi sasa sijasikia mwanachama mwingine yoyote wa Chadema aliyemuunga mkono Wangwe na kama wapo kwanini sauti yao haisikiki sana. Inabidi wakusanye kwanza wanachama wenye chuki na wachagga ndio watafanikiwa.