Labda nikuulize hili swali wewe.
Wewe unafikiria afanyeje?
mimi sifikiri mambo ya udaku ambayo hayana facts!
Labda nikuulize hili swali wewe.
Wewe unafikiria afanyeje?
mimi sifikiri mambo ya udaku ambayo hayana facts!
UDAKU na analeta habari ya udaku anaitwaje vile?
Kama hufikirii mambo ya udaku, unafanya nini kwenye thread ambayo umeiita ya udaku? huoni kuwa kitendo cha wewe kuchangia hii thread kinakufanya uwe mpenda udaku?
nikiwa kwenye "kitchen party" ilizuka debate kubwa ya kwamba mzee mwanakijiji ni mbaguzi, wa kidini na kikabila! I said wait a minute nikatega sikio vizuri. Mwisho wa siku baada ya hoja kupigwa in and out kina mama wakapiga kura na kuconculde kuwa kwa mwenendo wa maandiko yako kwenye vijiwe mbalimbali mwanakijiji ni mbaguzi wa kidini, then inafuatiwa na kikabila. Eti wewe ni mtu wa musoma na huwa unawabagua wasio wa musoma! yangu yakawa macho tu kwani sikua nimewahi kusoma maandiko yako mengi before. Sijui hili lina ukweli mzee mwanakijiji au walikuwa wanakuzulia tu hawa kinamama wenzangu?
udaku na anayeongelea au kuchangia habari ya udaku anaitwaje vile?
nimekuja kukuambia kuwa habari yako hii ni ya udaku, na wanaoleta habari ya udaku wanaitwaje vile?
mtafuta facts.
ohhh,
umekuja kujadili habari unayoiona ni ya udaku, kitendo kinachokufanya wewe kuwa mmoja wale wanaopenda habari za udaku na ambao wanaitwaje vile?
nimekuja kukuambia kuwa habari yako hii ni ya udaku, na wanaoleta habari ya udaku wanaitwaje vile?
nikiwa kwenye "kitchen party" ilizuka debate kubwa ya kwamba mzee mwanakijiji ni mbaguzi, wa kidini na kikabila! I said wait a minute nikatega sikio vizuri. Mwisho wa siku baada ya hoja kupigwa in and out kina mama wakapiga kura na kuconculde kuwa kwa mwenendo wa maandiko yako kwenye vijiwe mbalimbali mwanakijiji ni mbaguzi wa kidini, then inafuatiwa na kikabila. Eti wewe ni mtu wa musoma na huwa unawabagua wasio wa musoma! yangu yakawa macho tu kwani sikua nimewahi kusoma maandiko yako mengi before. Sijui hili lina ukweli mzee mwanakijiji au walikuwa wanakuzulia tu hawa kinamama wenzangu?
ha ha ha, mtafuta facts kwenye habari ambayo anaiita ya udaku, ha ha ha, naona umejianika bila kutegemea. Ndio tatizo la kudhani unajua kila kitu kumbe hakuna kitu. Ha ha ha
Mama,
kujadiliana na Mgaya is a waste of time. Nimeelewa point unayoimake.Tatizo ni kwamba hapa Mgaya hata ukimuelewesha hawezi kukuelewa kwa sababu hayuko willing kujadiliana yeye anasutana.
Mama,
kujadiliana na Mgaya is a waste of time. Nimeelewa point unayoimake.Tatizo ni kwamba hapa Mgaya hata ukimuelewesha hawezi kukuelewa kwa sababu hayuko willing kujadiliana yeye anasutana.
Habari za jikoni kama hizi huitwa udaku, na watu wanaozileta huitwaje vile?
ha ha ha haaaa, mtu mzima haachi jambo likapita for granted, ndio maana tunashika mavi kuwaosha watoto wetu, au unataka kutuita mama zako tunaoshika mavi nzi?
HUU UDAKU WAKO WA UDINI UNAONYESHA WEWE NI MTU WA NAMNA GANI. MDAKU!
Huu ni mjadala basi, kama ndio mijadala anayojadiliana ndio hii, basi no wonder akawa mdaku!
Ha ha ha , ulikimbilia kuja kujadili habari unazoita udaku bila kujua kuwa hilo linakufanya wewe kuwa mdaku vilevile. Ha ha ha, ndege anayedhani kuwa ni mjanja amenaswa kiulaini kwenye mtego wake mwenyewe.