Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

Status
Not open for further replies.
Hao wanane ni wepi mbona hesabu zako zinaonekana zimechanganyika na muono wa makengeza.


.....


Haya piga hesabu halafu ubishe kama Tanzania haiuliwi na mafisadi wa kikiristo.

Ho hoh hoh...

Wewe sasa unaleta mapya hapa, Tanzania inauliwa na mafisadi wa kikristo kwa hiyo ndio maana CCM inakuwa na viongozi waislam wengi sana kuliko wakristo?

Makubwa haya sasa.
 
Hata serikali ya CCM imejaa udini.
 

Baada ya kutoka hapa, mtaanza kutafuta ni kina nani ni shia na kina nani ni sunnis? Mnataka kuleta vita ya Iraq? Baada ya hapo mtaanza nani ni mkatoliki na nani ni protestant? mnataka kuleta mambo ya Northern Ireland?

Hii haiprove chochote, go beyond this guys.
 
Waaungwana inaonyesha hakuna cha kuandika au tumeishiwa kwa siku hizi za karibuni
hakunacha kujadili zaidi ya udini?kwanini tusi shugulikie hao mafisadi tuna poteza muda wakubwa wanakula nchi kama yao peke yao
katika ufisadi mbona hamja kurupuka na kusema katika listi wengi ni mafisa wangapi wakristo na wangapi waislam na wangapi hawana dini? kwa hiyo kabala ya kwenda huko kwanza tuhisabu kila wizara na kila balozi na kabila pia ninafikiri tuanzie kwako mwana kijiji tukisha kuparaganyanya humo halafu ndio tutakaa kujadili maendeleo ya nchi yetu
wakati huo tutakuwa tayari tumesha wapangia vyama idadi ya wanachama wa kislam na wakristo tuwatakao katika vyama
ama kweli muungwana mmoja anamsemo wake anasema NDIVYO TULIVYO
Watu wengine tunaheshimu mchangowenu hapa jf lakini kwanini muna jishushia hadhi zenu baadae inaonyesha mutaulizia hata hapa jf ni wapagani wangapi waliopo na yehova wangapi mchaga mzaramo mmatumbi na wengineo, mh tufika kweli?
 

Mkuu, haya umeyaona leo? wana ccm kwa muda mrefu wamekuwa wanasema hapa kuwa CUF ni chama cha waislam na wapemba, na walianza kusema kuwa UDP ni chama cha wasukuma, juzi baada ya kubanwa mbavu na chadema kwenye ufisadi, wameanza kumtumia Wangwe (ambaye alikaa vikao na Rostam Aziz kwa masaa manne kupanga mikakati) kukiita chadema kama cha kikabila huku wakijua kuwa si kweli.

Hapa ni ccm wanakumbushwa kuwa formula yao wanayotumia inaweza pia kutumika na kukiita chama chao kama chama cha kiislam.
 

Sio utaratibu mzuri wa kupokezana uongozi kwa misingi ya kidini (kama kweli hili ndilo linalofanyika ccm) kama isivyojalisha kama viongozi wa chadema ni Bob Makani na Kaborou au Mbowe, zitto na Slaa.

Misingi ya udini na ukabila ni below our standard.
 
Do you care if CUF has more muslims than christians? Do you care if UDP has more sukumas than other tribes? Do you care if CHADEMA has more chagga MPs than other tribes?

If you do, then I do care about 30 muslims out of 38 ccm leaders.

wewe mwafrika wa kikeko kweli yani umekimbilia kwingine duu kazi kweli kweli
 

we dare to talk openly, CCM chama cha kiislamu, Chadema chama cha kichaga. Muungano wa vyama vya upinzani TLP- chaga party, CHADEMA; Chaga party, NCCR-Christian+kilimanjaro party, UDP sukuma party!

Iko haja ya kuunda CHAMA CHA UMOJA WA KITAIFA.
 

Kwa hiyo zile MILION 700 ambazo walikikopesha CHADEMA akina mbowe na baadae kulazimisha kuzitumia kwa kuruka na HELKOPITA. AZIZI ndiye alimfundisha CHACHA azihoji??
 

Hivi wapigania uhuru majority walikuwa dini gani vile?
 
mwafrika.. hilo somo watu wakilielewa watajua kwamba sumu ya ubaguzi huwa haikomi. Ukishawabagua watu kwa kuangalia ukabila, utataka kuangalia kanda,ukitoka kanda utaangalia nasaba zao, utaangalia dini zao, utaangalia kama wanakwenda msikiti/kanisa lile lile.

Mtu mwingine si anaweza kudai katika kuthibitisha madai ya udinni kuwa katika vyama vyote ni CCM peke yake (kwa kadiri ninavyojua) iliyoahidi kwenye Ilani yake kuanzisha mahakama ya kidini kwa ajili ya kundi moja, kundi ambalo wao ndio wengi kwenye uongozi wa chama hicho.
 

Heshima mbele Kuntakinte,

Hii itachukua muda lakini taratibu watu wataelewa kuwa kujadiliana dini na makabila ya watu hakujengi umoja bali kubomoa juhudi za pamoja za kuondoa umasikini na magonjwa Tanzania.

Hebu fikiria wale ambao walikuwa wanafurahia juhudi za Dr Slaa za kupinga mafisadi leo wakisikia hizi habari za uongo kuwa kuna misingi ya kikabila kwenye chama chake itakuwaje?

Hebu fikiria wale wana ccm ambao wanaungana kwenye mapambano haya wakiona hizi habari kuwa chama chao kina udini watafikiriaje. Haya mambo ya kuangalia vyama kwa misingi ya kidini na kikabila yamepitwa na wakati na ni ya kupigwa vita kwa nguvu zote.
 
Bila shaka CCM haiwezi kuangaliwa kwa misingi ya udini... iweje basi madai ya watu 6 kutoka mkoa mmoja ambao si wote wa kabila moja wadaiwe kuwa ni ukabila? Kwanini tumekubali na kukumbatia hoja hiyo ya ukabila kwa kuanglia namba tu lakini tunakwepa kufuata kanuni hiyo hiyo kwa kuangalia namba na kusema kuna udini ndani ya CCM (uwe wa wakristu au waislamu)? Kwanini Ukabila uwe ni watu sita wasio wa kabila moja lakini watu wa dini moja usiitwe udini.

Ambacho kimeweza kuoneshwa pasipo shaka ni kuwa kwa kuangalia majina tu, au idadi huwezi kusema kilichotokea ni ukabila au udini. Kwa sababu ukifanya hivyo kwa kundi hili wenzio watafanya kwa kundi lile, na mwingine atakuja na kundi jingine.

this is the point I've been making. Haiwezekani madai ya Wangwe kuwa watu sita wasio wa kabila moja yaitwe ukabila na watu wapige kelele kuna ukabila lakini mtu mwingine akitoa madai hayo hayo kwa kundi jingine ionekane tunaleta mambo ya kibaguzi? Kipimo unachopimia wengine kikipimiwa dhidi yako usiseme kinakuonea.

My point ni kuwa Ukabila na Udini SIYO IDADI!!!
 
wewe mwafrika wa kikeko kweli yani umekimbilia kwingine duu kazi kweli kweli

ha hah hah,

Naona wewe una matatizo ya kubatiza watu majina, umwemwita mpaka kieleweke kuwa ni Mbowe na sasa unataka kusema mimi ni MWK? Kweli umeshikwa pabaya hadi kudhania kila mtu hapa ni Mbowe au MWK? Inaonekana unamwogopa sana Mbowe na MWK?

Ni heshima kubwa sana kwa mimi kudhaniwa kuwa ni MWK, inaonekana CCM mnakimbia kivuli chake kila sehemu. ha ha h ah haha.

Mshauri mwenyekiti wako atoe udini kwenye chama labda utapata nafuu kidogo.
 

nikiwa kwenye "kitchen party" ilizuka debate kubwa ya kwamba mzee mwanakijiji ni mbaguzi, wa kidini na kikabila! I said wait a minute nikatega sikio vizuri. Mwisho wa siku baada ya hoja kupigwa in and out kina mama wakapiga kura na kuconculde kuwa kwa mwenendo wa maandiko yako kwenye vijiwe mbalimbali mwanakijiji ni mbaguzi wa kidini, then inafuatiwa na kikabila. Eti wewe ni mtu wa musoma na huwa unawabagua wasio wa musoma! yangu yakawa macho tu kwani sikua nimewahi kusoma maandiko yako mengi before. Sijui hili lina ukweli mzee mwanakijiji au walikuwa wanakuzulia tu hawa kinamama wenzangu?
 
Hivi wapigania uhuru majority walikuwa dini gani vile?

Wengi wao hawakuwa na dini za kigeni mama, machifu waliopigania uhuru hasa wale waliopambana na wajerumani walikuwa na dini za asili.
 
Wengi wao hawakuwa na dini za kigeni mama, machifu waliopigania uhuru hasa wale waliopambana na wajerumani walikuwa na dini za asili.

unaweza nitajia washirika wakuu wa nyerere katika harakati za kuikomboa Tanganyika?
 
Hivi wapigania uhuru majority walikuwa dini gani vile?

Mama sidhani kama hii ni factor, unless kama tunataka kuleta yale ya Kenya ambako wakikuyu wanadai haki ya kutawala Kenya kwa vile maumau mengi walikuwa wakikuyu.
 
Mama sidhani kama hii ni factor, unless kama tunataka kuleta yale ya Kenya ambako wakikuyu wanadai haki ya kutawala Kenya kwa vile maumau mengi walikuwa wakikuyu.

Acha kutwist point, hii nchi imepiganiwa uhuru na waislamu?je wengi waliokuwa na mwamko na siasa na kugombea uhuru ni waislamu? sijui nauliza tu?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…