Kubwajinga
JF-Expert Member
- Jan 23, 2008
- 2,193
- 299
That statement in red sums it all about you. Whatever you see in ukabila is worse than what Chenge did? The same Chenge who brought us Buzwagi, IPTL, and all dubious contracts?
You are beyond comprehension my friend, this potrays you negatively.
Point yako ni nzuri na nimeielewa. Lakini pia sidhani kama wewe unaweza kusoma moyo wangu kujua kuwa ninasema kile wanachosema walioko Darfur. Mimi nimesema tu vile nilivyo bila kudhalilisha yoyote yule ambaye yuko tofauti na mimi. Ninatambua diversity bila kumtenga yoyote yule. Ni kama vile wewe ulivyosema kuwa ni mchaga lakini sidhani kama una maana kuwa wengine watakojiita wasukuma watakuwa wanatafuta ugomvi nawewe.
Hakuna makosa kwa wewe kusema kuwa ni mchaga kwa sababu umesema ukweli kuhusu wewe. Ukianza kuwatenga ambao sio wachaga kwa vile tu wao si wachaga basi hapo ndipo kuna tatizo.
Itakuwa pia tatizo kama wengine pia wataanza kukutenga na kukuchukia kwa vile tu wewe ni mchaga.
Dhafuri hakuna wakiristo labda wale wa upande wa Kingunge Wakiristu wa Sudan wanapatikana kwa wingi upande wa Kusini mwa Sudan kwa akina John Garange.
I agree that I care more about our wholesome than just dealing with individuals like Chenge. We can fight Buzwagi, IPTL etc. and win it in a matter of days/weeks/montsh etc., as long as our leaders wishes to and we are united. But once we become tribalistic, the energy to fight will disappear and even a very junior fisadi will be as strong as his trabalistic supporters. Ukabila is only good for the beneficiaries, and a catastrophe to the nation, ask the Rwandese and will tell it better.
So far, you are talking about the same thing, you cant accuse Chadema of tribalism and not do the same to CCM. The same standards you are using have been used by somebody else to show that 30 of 38 CCM CC members are muslims.
You have to equally blame both parties (if this really matters) if you want to make a point. Otherwise, you are just presenting yourself as a party zealot who will bend rules and issues to score a point. Shame on you and all who try to instill religious and tribalistic feelings into our minds.
Mwanakijiji skewed the statistical analysis.
First, 5 of 6 does not parallel 25 of 38. There's no comparison.
Second, you have 26 regions to disperse 6 seats. That is a far cry the distribution of 38 seats. How can you go wrong dispersing 6 seats to 26 regions? Do 5 out of 6 need to go to a single region?
Third, the rumblings of lopsided representation within CHADEMA did not start yesterday, or after the 2005 elections. It's an age-old grievance from various quarters over the years, not just Wangwe.
Four, and most importantly, membership to the National Executive Committee of CCM has a pre-determined blind system of selection.When the rules say that NEC shall consist of, say, the Speaker of the National Assembly from CCM, it does not matter who that speaker is, his or her religion, tribe or gender. In contrast, the 6 CHADEMA parliamentary members were handpicked. Mwanakijiji knows this, and he chose to create a bogus comparison for ideological expedience.
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa, Ibara ya 109 (1)
(1) Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa itakuwa na wajumbe wafuatao:-
(a) Mwenyekiti wa CCM.
(b) Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania anayetokana na CCM.
(c) Makamu wawili wa Mwenyekiti wa CCM.
(d) Rais wa Zanzibar anayetokana na CCM.
(e) Katibu Mkuu wa CCM.
(f) Manaibu Katibu Mkuu wa CCM.
(g) Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa wa Organaizasheni.
(h) Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa wa Itikadi na Uenezi.
(i) Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa wa Mambo ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa.
(j) Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa wa Uchumi na Fedha.
(k) Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano anayetokana na CCM, na Spika wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar anayetokana na CCM.
(l) Wajumbe wengine wasiozidi kumi na wanne waliochaguliwa na Halmashauri
Kuu ya CCM ya Taifa wakiwemo wanawake wasiopungua wanne, wawili
kutoka Tanzania Bara na wawili kutoka Tanzania Zanzibar.
(m) Mwenyekiti wa Taifa wa kila Jumuiya ya Wananchi inayoongozwa na CCM.
(n) Mwenyekiti na Katibu wa Kamati ya Wabunge wa CCM.
(o) Mwenyekiti na Katibu wa Kamati ya Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wa CCM.

Couldn't say it better. Mwanakijiji is trying to defend this inequity either because he is part of the beneficiaries (the Kilimanjaros) or he is a party insider trying to protect the image of CHADEMA. I guess he is both.
Sijawahi kuona kama dini ni tatizo Tanzania. Kuna baadhi ya watu (wajinga) wanajaribu kuutumia uislamu kujipatia malengo yao ya kisiasa, lakini kila mara wanapata shida na wanashindwa. Kwa sababu hiyo ni ajanda ya wasiosoma, na wale wasio na issue au sera.
Tanzania tumeona kuna baadhi ya viongozi waislamu,wakristo,wahindu wote ni wezi

Na ndio maana hao uliowataja hapo juu dont relly matter in this case.
What actually matters ni SHERIA ZA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA AMBAZO ZINA WAGOVERN HAO WOTE HAPO HAPO JUU! bila kujali descriptions!
SIASA ZITABAKI KUWA SIASA LAKINI UKWELI UTAAMULIWA NA SHERIA.
Kuhani,
Now you are expanding the argument to highlight the context. This is very good. This is what should have been the argument and not just picking up numbers. We should look at the process and qualifications and not tribes and religious affiliations.
Somebody counted 30 out 38 ccm leaders and called them muslims as the other who counted 5 out 6 Chadema MPs and called them Chaggas. NO body cared to go a step further and say what there are 5 chaggas and 30 muslims.
This is very nice of you.
However, no matter the context, the facts are still there, there are 5 chagas and 30 muslims (as it's been described here).
The question is, should this matter at all?
Hawa wajumbe wa NEC hawakuchaguliwa kwa kigezo cha dini zao walipigiwa kura na wajumbe wa chama kwa misingi ya chama chao,swali hili ungewahoji waliopiga kura kama mimi na wengine ninavyowauliza kina Ndesamburo kulazimisha watoto na watu wa kabila lao kuwa wabunge wa viti maalum vya Chadema bila kupigiwa kura na Wanachama .
Chadema wabunge sita wametoka Kilimanjaro na mmoja aliyetoka kigoma kuna maneno mitaani kuwa ni kigoli wa mkubwa wa Chadema ndio akapewa hiyo nafasi, hawakupita kwa chaguzi wala kupigiwa kura waliteuliwa na watu wachache wa kabila la kichagga kuwa wabunge wa viti maalum ingekuwa sahihi kuwaita wabunge wa kuteuliwa wa Chadema na si wa viti maalum, hakukuwa na kanuni wala taratibu za kuwachagua wabunge hao na wanachama au wajumbe hawakuwapa ridhaa zao.
CCM inaongozwa kwa sera na kanuni sio utashi wa watu watatu kama chadema na wote kabila moja.
imewahi kusemwa humu kuwa kusema kuwa CCM ni chama cha kiislam sio kweli, sababu wakati Mkapa ni mwenyekiti wa CCM taifa alikuwa mkristu, makamu wa rais alikuwa John Malecela mkristu, Katibu mkuu alikuwa Philiph Mangula Mkristu,Katibu mwenezi alikuwa mkristu bwana Jackson Msome,Mwenyekiti wa makao makuu Dodoma mzee Ndenjembi-mkristu alikuwa na katibu wa mkoa mkristu, Katibu w chama Jiji la Dar-es-salaam kwenye makao makuu madogo ni Barongo-mkristu.
Mwenyekiti wa umoja wa vijana Taifa-Emmanuel Nchimbi mkristu, katibu mkuu wa umoja wa vijana alikuwa Makalla-mkristu,msaidizi wa katibu wa umoja wa vijana Beno Malisa-mkristu,Katibu Jumuiya ya wazazi -mkristu, Kiongozi wa bendi ya Chama TOT ni mkristu bwana John Komba, nenda kwa wakuu wa mikoa na wilaya halafu tizama sasa wenyeviti na makatibu wa chama wa mikoa ni wakristu kwa asilimia 80% Tanzania Bara, ukienda kwa Makatibu wa wilaya na wenyeviti wa CCM hivi sasa wakristu kwa asilimia 75% swali la msingi waislam ni minority Tanzania Bara? hakuna mtu alisema kuwa CCM chama cha Kikristu.
na Rais Mkapa alikuwa na msaidizi wa kikristu bwana Sumaye kama waziri mkuu kwa upande wa serikali, Hivi Mwanakijiji unasema kutoka moyoni kwako kuwa umefanya utafiti w kweli na haki? haya maelekezo yametolewa hapa Jf mara nyingi hujawahi kuyaona? kuna ile makala uliandika kuwa Kikwete Mdini kwa kuwapeleka mahujaji Makkah kwa ndege za serikali haina tofauti na hii ya leo,
Ulichokosea kumsema wazi Wangwe unaonesha uko Upande wa Mbowe kuzidi kumsakama,lakini unamzidishia umaarufu juzi umemuhoji, Hadi wakili wake Tundu Lissu kuvunja miiko ya kiwakili kwa kutoa siri za mteja wake(client confidential code) na kufanya mambo kinyume na professional yake, huwezi kuwa Mwanasheria unatoboa siri za mteja wako na unakubali kuhojiwa na mtu kwenye simu usiyemjua au anayetumia jina bandia na wala huna uhakika hiyo taasisi(KLH NEWS) ina legal status ipi.
Ikitokea Wangwe anakwenda mahakamani kumshitaki Tundu Lissu kwa kutoa siri za mteja wake redioni na aliyewahoji (Mwanakijiji)anatakiwa Mahakamani kutoa ushahidi, Tundu Lissu atampata wapi Mwanakijiji au akiulizwa anaitwa Mwanakijiji bin nani? anuani yake? ataonekana na hakimu au jaji hajui kazi na ame act Unprofessional na leseni yake inaweza kusitishwa,
Au atashitaki kwenye bodi gani ambayo itaidhibiti redio(Klh News) kwa kutoa habari ambazo bado ziko mahakamani au kwa kosa lolote? siku zote wakili anatakiwa ku act to the best interest of his/her client bwana Tundu kafanya kinyume chake hii ni picha kamili kuwa mawakili wetu wengine makanjanja.
Hivi Mwanakijiji unasema kutoka moyoni kwako kuwa umefanya utafiti w kweli na haki? haya maelekezo yametolewa hapa Jf mara nyingi hujawahi kuyaona? kuna ile makala uliandika kuwa Kikwete Mdini kwa kuwapeleka mahujaji Makkah kwa ndege za serikali haina tofauti na hii ya leo,
Ulichokosea kumsema wazi Wangwe unaonesha uko Upande wa Mbowe kuzidi kumsakama,lakini unamzidishia umaarufu juzi umemuhoji,
Hadi wakili wake Tundu Lissu kuvunja miiko ya kiwakili kwa kutoa siri za mteja wake(client confidential code) na kufanya mambo kinyume na professional yake, huwezi kuwa Mwanasheria unatoboa siri za mteja wako
na unakubali kuhojiwa na mtu kwenye simu usiyemjua au anayetumia jina bandia na wala huna uhakika hiyo taasisi(KLH NEWS) ina legal status ipi.