BAFA
JF-Expert Member
- Jul 19, 2011
- 3,059
- 5,927
Candid Scope, shauri lako na wewe watakuambia hauko Tanzania na utetezi wako wote wa CDM huko Arusha na kwingineko utasahauliwa; utaitwa CCM. Lakini, utaendelea kuwa huru kutoa mawazo yako.
Mzee wangu kwanza naomba radhi kwa kukupinga juzi. Ila mimi ni muumini wa kutaka ccm itoke madarakani kwa gharama yeyote ile hasa kwa ujio wa lowassa. Lakini tunajitia upofu bure ni lini mbowe mwenyewe alikuwa msafi kwani wakina Dr hawakuyajua hayo?? Na mbona yalipowatokea akina zitto mlikuwa kimya hamkutetea kifua mbele kwani mbowe ni Mgeni kwenu yeye ni mfanyabiashara ambae maono yake ni fursa. Kumuona Candid Scope na wewe naanza kufikiri sasa huenda kwa hili mmetanguliza ukatoliki mbele than anything kwani yaliotendeka hayakuanza leo.
Viva mbowe VIVA EL
Last edited by a moderator: