Udhamini

Derickdeo21

Member
Oct 3, 2019
12
6
[SUP]Habari za wakati huu wanajamvi natumai mungu ni mkuu na mweza wa yote nimekuja mbele yenu nikiwa na hoja ifuatayo kwanza kwa majina naitwa Derick Deo nimemaliza masomo ya kidato cha sita ila kwa bahati mbaya alama nilizopata aziniruusu kuendelea na shahada ya kwanza kwahiyo inanibidi kuanzia katika ngazi ya diploma lakini hali ya uchumi kwangu hainiruusu kujitegemea kila kitu kwahiyo nilikua naomba yeyote anayejua taasisi binafsi inayotoa usadizi kwa wanafunzi was diploma anisadie ili niweze kufikia malengo ahsante[/SUP]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom