Udhalilishaji huu wa Askari upigwe vita kwa nguvu zote

Covid-19

Senior Member
Mar 2, 2020
162
364
Hiyo ni video inayoonyesha askari akimsurubu konda kwa kile kinachohisiwa konda kutaka kukata nauli yake halali. Matendo haya ya unyanyasaji wa raia yamekua yakiongezeka siku hadi siku kwa sababu zisizo na msingi na baadhi ya watu wakionekana kuyafurahia badala ya kukemea kwa nguvu zote. Utasikia mtu kapigwa kisa kavaa nguo zinazofanana na nguo za jeshi!! Nguo za jeshi ni zipi?

Niikumbushe serikali, vitendo hivi vya askari hutafsiriwa ni vitendo vya serikali na vimekua vikizua ghadhabu kwenye mataifa mengi mfano Nigeria na Marekani.

Aah my freebasics..why are you doing me this.

Anyway, HAKUNA AFANDE ANAEWEZA KUNINYANYASA AKIWA PEKE YAKE LABDA AWE NA BUNDUKI. POLISI, MAGEREZA AU JWTZ, ukiwa peke yako huninyanyasi hata siku 1
Umeongea ukweli. Afande wakiwa zaidi ya watatu ndio uwaogope. Pia hata akiwa mmoja ila ana manati ya mzungu/bunduki ndio umuogope ila akiwa mmoja au wawili hapo lazima wachapwe.

Enzi za ujana wetu tumetandika sana askari night clubs ukiona anapiga simu kuita wenzie ndio unakimbia
 
Aah my freebasics..why are you doing me this.

Anyway, HAKUNA AFANDE ANAEWEZA KUNINYANYASA AKIWA PEKE YAKE LABDA AWE NA BUNDUKI. POLISI, MAGEREZA AU JWTZ, ukiwa peke yako huninyanyasi hata siku 1
Mkuu ulishawahi kwenda gerezani?
 
Usela wa kipumbavu alio ufanya huyo kondakta ndo umeponza acha adhalilishwe tu
Mbona video inajieleza Huyo chalii alipewa elf 5 akate nauli 200 akakataa kurudisha hela iliyobaki 4,800/= kwa abiria.
Kwa mazingira hayo inaonyesha huyo afande hakua amevaa unform, hivyo laiti angekua ni raia kama mm na ww ingekua tayar kashapoteza haki yake hii video iwe funzo kwa makonda wengine wenye tabia za kishenz inaonekana ni kawaida yao hao
 
Kenge wewe

Unajua unyanyasaji wa makondakta!! Kwa hiyo kisa ni askari ndiyo adhurumiwe pesa yake!!
Mtu akikudhulumu ndio umpige? Huoni ni kosa kisheria? Hiyo video ni mfano tu wa unyanyasaji wa askari wetu, nimetoa pia matendo mengine kama kumpiga mtu au kumvua hadharani aliyevaa nguo zenye mabaka na kusema ni nguo za jeshi.
 
Sawa
Kaandamane au kimbilia ubalozini/kenya
 
Back
Top Bottom