Udhaifu wako ni upi katika mapenzi?

Udhaifu wako ni upi katika mapenzi?

Udhaifu wako ni upi katika mapenzi ambao utakufanya mwanamke/mwanaume ku win your heart.

Be honest!!! Please
E Banaeeeh, mie mahips, lips, macho yale ya uchokozi tu na miguu kwisha kazi
 
awe mrefu 200cm,black,kauzu,wa bush, jambaz,jna lake awe nyamakunagambulaya mva,mkurya na mwenye diploda ya ualimu.hapo xaxa hata 10mil znaenda.
 
Back
Top Bottom