Udhaifu wako ni upi katika mapenzi?

Udhaifu wako ni upi katika mapenzi?

::
Mi,,paja tu
cc My love Lisa
=
 
Last edited by a moderator:
mfupi,mwenye kitambi alafu mweusi sana na meno meupeee
 
Mie hiyo mipingili pingili ya tumboni afu kifua kilichojaa na kiwe na vinyweleo... Awe mrefu na maji ya kunde... yeleuwiiiiii .... Nafwa mie!!!!!

bryan-shower-400x600.jpg

charminglady..haya majaribu lol
kwakweli this guy is hawt!the first time nimeona picha yake i had to ask myself kama kashushwa au?ahahahah
 
awe mweupe, mrefu kama mimi, asiwe skeleton au tipwatipwa
 
charminglady..haya majaribu lol
kwakweli this guy is hawt!the first time nimeona picha yake i had to ask myself kama kashushwa au?ahahahah

Umeona eeeh.... dah kuna wanaume wazuri jaman khaaaaa!!!!!!!
 
White, wezere au kijungu cha wastani, acwe mnene wala mrefu. Hapo naweza kuchukua hata mkopo nmb!
 
charminglady..haya majaribu lol
kwakweli this guy is hawt!the first time nimeona picha yake i had to ask myself kama kashushwa au?ahahahah
Lakini kasuka inaonyesha kab....
 
Back
Top Bottom