Udhaifu wako ni upi katika mapenzi?

Udhaifu wako ni upi katika mapenzi?

Mie hiyo mipingili pingili ya tumboni afu kifua kilichojaa na kiwe na vinyweleo... Awe mrefu na maji ya kunde... yeleuwiiiiii .... Nafwa mie!!!!!

bryan-shower-400x600.jpg

Hahahaaaaa ndo mimi uyo tuko mapacha 3
 
Bumunda kuubwa jekundu lililovimbiana + Tommy diary 11:44 under 17!! Nahonga I.s.t..! Bila kupepesa macho
 
ndo maana nikakuambia uunde wa kwako. Manake hatothubutu kukiuka masharti yako usije ukamtoa betrii
Pamoja na kutotaka kuingilia utani wenu, lakini bidada una point hapo kwani sie wanadamu huchagua mwonekano wa mwenzi kwa wakati huo bila kukumbuka kuwa mwonekano hubadilika haraka sana. Mfano hizo pingili za tumbo ni kwa vile ni kijana na anafanya mazoezi, akiongeza umri kitambi kinaondoa hizo pingili. Mama akizaa kiuno cha nyigu kinatokea kitambi na kama ulitamani kiuno cha nyigu ndo hivyo utatoka nje kuwatafuta. Hivyo ni vyema ukaunda wa kwako ambaye hawezi kubadilika.
 
Udhaifu wako ni upi katika mapenzi ambao utakufanya mwanamke/mwanaume ku win your heart.

Be honest!!! Please
Mi udhaifu wangu nachukua muda mrefu sana like 55 minutes na baada ya hapo siwezi tena kuendelea....
 
Pamoja na kutotaka kuingilia utani wenu, lakini bidada una point hapo kwani sie wanadamu huchagua mwonekano wa mwenzi kwa wakati huo bila kukumbuka kuwa mwonekano hubadilika haraka sana. Mfano hizo pingili za tumbo ni kwa vile ni kijana na anafanya mazoezi, akiongeza umri kitambi kinaondoa hizo pingili. Mama akizaa kiuno cha nyigu kinatokea kitambi na kama ulitamani kiuno cha nyigu ndo hivyo utatoka nje kuwatafuta. Hivyo ni vyema ukaunda wa kwako ambaye hawezi kubadilika.

Mkuu...... Nafikiri hapa tunaongelea first impression, hayo mengine huja baadae!
 
Back
Top Bottom