Udhaifu wa mtangazaji wa ITV Maulid Kambaya - Malumbano ya Hoja

mdundo ngoma sana

JF-Expert Member
Jan 2, 2016
1,002
955
Katika kipindi cha leo umeshindwa kuonyesha proffessionalism kwenye taaluma ya habari haswa unapofanya talk show pale ambapo umeonesha wazi wazi kumshambulia rais wa washabiki.

Ukiwa kama journalist kazi yako kuongoza sio kujiingiza kwenye mabishano other wise uliside na ulikuwa bias mno.

ITV wapeni muongozo vijana kwenye kufanya kazi za uwanahabari.
 
Hata yule mwenzake ni tabia yao ya muda mrefu af wanajidai washabiki wanajua sana wanafokea meza kuu mimi nilishaacha kuangalia hicho kipindi.
 
Back
Top Bottom