Udhaifu wa dr. Banner

hayaland

JF-Expert Member
May 4, 2012
712
399
:spy:Mtu yeyote unapoitwa doctor lazima uwe na upana mkubwa sana wa kujieleza binafisi au kundi.kwangu mimi nimegundua kuwa ni mtu asiyefahamu kabisa nini anaongea,nakumbuka siku aliposema kuwa serikali aiendeshwi kwa shinikizo la wanasiasa na bunge,lakini mh rais alisikia kilio cha wanasiasa,wanaharakati,wananchi ambao ndo wananchi na leo mh katekeleza kile alichoaidi.kwa sasa narudi kwa DR BANNER aliongea nini na rais kamshushua adharani.aliojiwa zaidi na bbc radio na kutamka hivyo.mimi namuomba awe anapima kile anachoongea hasa kwenye vyombo vya habari ndani na nje ya nchi.
 
Back
Top Bottom