UDASA Wagomea JAKAYA Kutunukiwa PHD ya HESHIMA

PhD za tanzania ni sawa na ujuzi unaopatikana vijiweni, mtu anajifunza pale kijiwe baada ya siku anakuwa mtaalam naye anatafuta washikaji zake na kuwafundisha, nao wanakuwa wataalam hata kumzidi baadaye wanageuka wanakuwa walimu kwa yule aliyewafundisha hapo awali.
 
Wampe tu ili ile "DR. ....." ikolee zaidi! Ujinga mtupu!
 
Katika kuadhimisha miaka 50 Ya Uhuru wa Tanganyika , utawala na uongozi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam umepanga kumtunuku Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Jakaya Mrisho Kikwete, mzaliwa wa Msoga Mkoa wa Pwani Shahada ya Uzamivu/PHD ya Heshima.

Sasa katika hali isiyotabilrika wasomi wa chuo hicho kupitia UDASA wamekua wakigomea kutunukiwa kwa huyu bwana kwa madai kuwa hastahili kupewa Heshima hiyo kwakua hakuna la maana alilolifanya kustahili Tuzo na hakika wametoa wito kwa Utawala wa chuo kujitenga na propaganda za ajabu ili tu kuupumbaza Umma kuwa anakubalika na kuheshimika sana miongoni mwa wasomi katika Tanzania hii.

(.Note..................................habari hii nimeipata pale ofisi za UDASA kwa Mkufunzi aliegoma kunitajia jina.)

Hawa wasomi vipi tena??? hivi watanganyika nani katuroga huyo?? Mimi nilikuwa nafikiria ni watu wachache tu huko mlimani wanaoonekana wasomi lakini ni vihiyo vichwani mwao kumbe wako wengi wanaofikiri kwa masaburi!!. Ama kweli watanganyika tumeharibikiwa sijui ni nani atatunyoosha vichwa vyetu vikae sawasawa. Na haya ni masikitiko kwa sababu huko kwa wasomi ndiyo tungetegemea kutoke mawazo mazuri ya jinsi ya kutukwamua pale tulipo pa kupoteza rasilimani zetu, wizi katika mawizara, rushwa iliyojikita kila mahali na mengi mengi yanayotumiiza walala hoi lakini leo kwa pumba hizi hakuna matumaini tena. Haya nisalimieni Dr. bana
 
Na ww njoo kwangu usiku ntakutunuku PHD pia km ndio shida yako

Mods anaumwa kalazwa tangu asubuhi watoto wanagombana kwa matusi hana habari.....tunaomba kama uko mahututi kaimisha u-mods. kanuni zinavunjwa kwa matusi ikiwezekana tukupeleke nje kwa matibabu uje kufanya kazi yako hapa.
 
Matakoo yako, naona ushoga wako unakupeleka pabaya. PANYA MKUBWA WEWE!

Mods anaumwa kalazwa tangu asubuhi watoto wanagombana kwa matusi hana habari.....tunaomba kama uko mahututi kaimisha u-mods. kanuni zinavunjwa kwa matusi ikiwezekana tukupeleke nje kwa matibabu uje kufanya kazi yako hapa.
 
UDSM mkifanya hiyo, mtakuwa mmejidharirisha sana tena sana.... na hapo kweli tutajua kuwa kumbe yasemwayo kuwa watu wananunua madegree hapo ni kweli....
 
Huyo bwana amezoea kupewa vya bure na Udms ikitaka kuendelea kushuka hadhi ifanye kitu kama hicho, bwana mkubwa ni vizuri ukaenda UDOM alikozoea kupewa vya bure, PHD ni kitu kingine watu wanatumia zaidi ya miaka 20 wakitafuta PHD yeye leo apewe kirahisi kiasi hicho hapana.
 
Mods anaumwa kalazwa tangu asubuhi watoto wanagombana kwa matusi hana habari.....tunaomba kama uko mahututi kaimisha u-mods. kanuni zinavunjwa kwa matusi ikiwezekana tukupeleke nje kwa matibabu uje kufanya kazi yako hapa.

Fatilia vizuri coments zangu utagundua nan mtata!
 
Mods anaumwa kalazwa tangu asubuhi watoto wanagombana kwa matusi hana habari.....tunaomba kama uko mahututi kaimisha u-mods. kanuni zinavunjwa kwa matusi ikiwezekana tukupeleke nje kwa matibabu uje kufanya kazi yako hapa.

MODS fatilieni vizuri trends ya comments nadhani mwaweza kubaini nan mkosaji!
 
katika kuadhimisha miaka 50 ya uhuru wa tanganyika , utawala na uongozi wa chuo kikuu cha dar es salaam umepanga kumtunuku rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania mh. Jakaya mrisho kikwete, mzaliwa wa msoga mkoa wa pwani shahada ya uzamivu/phd ya heshima.

Sasa katika hali isiyotabilrika wasomi wa chuo hicho kupitia udasa wamekua wakigomea kutunukiwa kwa huyu bwana kwa madai kuwa hastahili kupewa heshima hiyo kwakua hakuna la maana alilolifanya kustahili tuzo na hakika wametoa wito kwa utawala wa chuo kujitenga na propaganda za ajabu ili tu kuupumbaza umma kuwa anakubalika na kuheshimika sana miongoni mwa wasomi katika tanzania hii.

(.note..................................habari hii nimeipata pale ofisi za udasa kwa mkufunzi aliegoma kunitajia jina.)

atakuwa nazo ngapi? Si tayari ni phd holder by respect kutoka chuo kimoja marekani?
 
Back
Top Bottom