Yaani haswa ukute una choo cha ndani!!! [emoji23][emoji23][emoji23]Usipohara kwa mchanganyiko huo ni hatari..............................
Choo cha nje utasababisha msongamanoYaani haswa ukute una choo cha ndani!!! [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]Choo cha nje utasababisha msongamano
Dah!!!ama kweli jf kiboko.,Akhsante kunibastisha mbavu zangu.Hapa mwenye tumbo katoliki tu ndo anweza kula huo mchanyato
Au uache mahindi pekee heheheMmmmh
Labda nile hayo mahindi pekee
Kweli mkuu, nimeamini wachawi wa namba tuko wengiMkuu ilitakiwa iwe (udambwi)^2
HahahahahaUnajishaua tu, mnavyopenda nyama nyie kama mafisi ya Serengeti.
[emoji23] [emoji23]Nunua pampers ujistili kabla ya kula mkuu..!
Unajishaua tu, mnavyopenda nyama nyie kama mafisi ya Serengeti.
Wapo mkuu, tumethubutu tumewezaKuna mtu anathubutu kula hiyo???