Ricky Blair
JF-Expert Member
- Mar 13, 2023
- 562
- 1,148
Tuvumiliane tu bwa shee...tuna familia, Leo unatusema hivyo, hata wewe dalali ajaye.....kazi ya wahindi sio kazi ndugu yangu....SEMA Amina na mungu atakubariki
😄😄😄😄 Hadi kushuka unawaza unashukaje ukikaa kiboya wanakuibia.Wale wa pale mbezi ndo huwa wananichosha. Daladala/mwendokasi ikiwa inaingia stendi inavokimbiliwa na wapiga debe unaweza dhani mtu kaibiwa na wamemuona mwizi wao.
hilo ndo tatizo lenu , hujamwelewa jamaa na bado unaendelea mshambulia , nenda stend ya Magufuri uone kero yakeWatu mkipata visenti mnaanza dharau
ukifika pale unavutwa hadi mashati yaan unaanza jieleza kwa kila dalali NINA TIKEKI NIAMIN NINA TIKET maana wanakuganda htrpia kupunguza huo usumbufu kata kwa njia ya mtandao.
nenda stend ya Magufuri , tujifunze kufanya tafiti kabla ya kuhukumu mtuJitathimini kijana ukiona unapata harassment za namna hiyo ktk maisha basi tambua watu wa aina hiyo wameona udhaifu wako wa kiakili au kimuonekano...
Mtu hakujui humjui hawez kukufanyia hayo yote...
Mpanda ndege uyo it seemswewe ndio akili huna.kwahio watuwote wanaosumbuliwa palé mbezi hawana akili?
Na ningekuwa na vijisenti ningehangaika na mabasi🤪 c ningekuwa Airport tuhilo ndo tatizo lenu , hujamwelewa jamaa na bado unaendelea mshambulia , nenda stend ya Magufuri uone kero yake