Udaktari unalipa?

Panctuality

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2019
Posts
940
Reaction score
1,399
Habarini wanajukwaa,

Naomba kujua,udaktari unalipa?

Nimekuwa nikipashwa habari kuwa "mtoto mpeleke udaktari" ni taaluma isiyokuwa na longolongo na hakuna daktari mwenye bachelor mtaani anapambania ajira zaidi ya mwaka mmoja,hivyo imepelekea mwanangu kukulia maisha fulani yenye mtazamo wa kuwa daktari mahili hapo mbeleni,wahusika nipeni uzoefu juu ya hili mzazi ninapoteza muda juu ya hili au kuna ukweli ndani yake?
 
Naambiwa Udaktari unalipa mara tatu zaidi ikiwa utataka kulinganisha na fani nyingine yoyote, kwa mfano.
1. Heshima kubwa kijamii.
2. Uhakika wa ajira (ikiwa utalinganisha na fani nyingine yoyote)
3. Mshahara mkubwa zaidi ya fani zote (katika ajira za serikali)
 
Mhhh...
 
Wafanyakazi wote wa serikali?????

Serikali ipi hiyo?

Acha kudanganya watu wewe.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ingekuwa hivyo unavyosema madaktari wasingekuwa na njaa kama tunavyo waona kwa sasa
 
Hapo kweny mshahara hpana Kuna ma engineer..wakemia pia Wana mishahara mirefu
 
Udaktari kwa level gani kwanza?
 
Uongo,
 
Kuzidi mpka sisi wa Finance hapa central Bank?

Sent from my FTE171A using JamiiForums mobile app
 
Kuzidi marketing
 
Usisome udaktari kama unataka pesa hii ni kazi ya wito
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…