sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,947
- 8,409
mimi huwa nakula,mbona matamu tu?
Upo kipenzi cha roho yangu?....umepotea sana mpendwa..
mimi huwa nakula,mbona matamu tu?
Hahahaaa nimeshiba wapi aisee....Umeshiba wewe...
Sijambo kiasi.....Arusha sio poa sana manake baridi inazidi kuongezeka......miss you pia more than so much...
Upo kipenzi cha roho yangu?....umepotea sana mpendwa..
Hahahaaa nimeshiba wapi aisee....
Hapa nataka nilale nikiamka labda ntakuwa nimeshasahau hili lidada lichafu lol
Dah pole sana aisee...Umemwona Kabakabana ?
Dah kaja na mzuka mbaya
Ndo maana nasema umeshiba mbaba, ungekuwa na njaa ya kufa mmasai wala usingesusa kula kabisaah...
Nimemwona kaja kaachika kwa uporoto01 hataki kusikia neno 'I love you' lol.....sijui yamemsibu yepi.
hunipendi sijui tunashare bwana?maana umenichunia lol
Dah pole sana aisee...Umemwona Kabakabana ?
Dah kaja na mzuka mbaya
Hahahahaaa mtajibeba wenyewe
Hahahahaaaa sawa aisee lol
Nimekununia, nipotezee!
Hahahahaaa BADILI TABIA mzima wewe?
Ndio uache sasa kurudi tena humu....humu ni One visit tu