Udahili NACTE kwa mwaka wa masomo 2017/2018.

Nashukuru sana.

Ila baada ya miezi mitatu NACTE ndio watatoa awamu nyingine ya kufanya maombi si ndio

Maombi ni Mwezi May watatoa nafasi za Udahili kupitia NACTE,Wakati huo wewe utakuwa unaendelea na kozi yako na maombi utakuwa umetuma,masomo kupitia NACTE yanaanza mwezi wa KUMI wewe utakuwa umesha maliza kozi pale veta hata 3,kama vile Compyuta mwezi 1,Udereva, nk,ukiwa unaenda vyuoni una vyeti kibao vya Veta.Kumbuka VETA unaenda palepale unajaza fomu na kuendelea na masomo.Zingatia ushauri huu dogo mwenyewe utakuja unitafute.
La msingi nenda moja moja Chuo cha VETA kilicho karibu nawe,kisha chagua kozi fupi fupi,kisha chagua unazotaka.
 
Nashukuru sana Kwa ufafanuzi huu.

Ubarikiwe sana ndugu yangu
 
on going application bdo ni ya mwaka wa masomo 2016/17,tena ni ya kada ya business kwenye baadhi ya vyuo venye uwezo wa kupokea wanafunzi...baada ya hii intake kuisha,mwez wa 9 ndio wanafungua 2017/18 intake kwa kada zote baada ya mwaka wa masomo kukamilika..
 
Back
Top Bottom